Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Achana na watu pambana hali yako mambo ni mengi muda mchache,kila mtu na maishayetu,

kunawatu waingiza pesa kwakutukana wezao yah wako kazini usijali mambo yatakaa sawa

Dunia tumeisha hamia kwenye mifumo wa biashara wa ki-digital wenzio ndyo kwanza wanaamka kwenye nfumo wa analogy .
 
Habari wadau,

Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
1.Baada ya kupita comments zote kunakitu nimejifunza
2.Mtu akiuliza swali au jambo lolote usimbeze tulia ujifunze
3.Kuna baadhi ya watu wana mentality za kufanya utapeli mtandao na niwengi sana hata hapa wapo.

Nilichokigundua kunawatu wengi hapa wanauliza maswa mazuri na kuibua mijadala mwanzoni sikumuelewa mleta mada baada ya muda kusonga nazidi kumuelewa vizuri sana na wengine waige na sisi watumiaji tusikariri technology tujifunze mambo mapya yanafaida nyingi sana kwetu badala ya kubeza na kujifnaya tunajua kilakitu.


Kupita JF kuna watu wa aina mbalimbali unaweza kutupia uzi wako au swali lako kufanya utafiti wa jambo fulani mwisho wasi ukapata majibu mengi na sio jibu moja

Mada ya mtaji ni pana sana kupata pesa nyingi bila mtaji pia inafikirisha ukifatilia vizuri kuna mtu kakutumia link hapo juu pia nimefatilia tangu juzu kupata pesa nyingi bila mtaji ningumu utatumia bali unawe kupata pesa za kujikimu au kupata mtaji kupitia pale lakini kwa mtu mwenye uwezo wa kufundisha mambo ya ujasiriamali pale panafaa anaweza kupata pesa nyingi kwamtaji kidogo.

Kilichoko pale ni nfumo wa kidigital wa kawaida sana sema huku kwetu tuko nyuma sana watu bado ni washamba sana pale kitu kinatwa kumtapeli mtu ningumu kwajinsi nfumo wao ulivyo pia undangayifu sijui tuma pesa ya na kutolea pale hakuna, huu nfumo unatuma salamu kwa mateli wa matandaoni watufute kazi za kufanya

Jambo lapili Digital Payments ni wakati wake unaweza kucheza kwenye hizi platiform ukajikuta kila mwisho wamwezi unapesa kuliko mtu anaye faya kazi ya physical maofisini kupand daladala kilasiku kwenda na kurudi nyumbani na wapongeza sana kwakufanya mapinduzi ya technology sio kupata pesa nyingi bila mtaji tu bali kwaubuni unakwenda na wakati.
 
Hawa jamaa watafika mbali kwasabu Platform nyingi tumia fumo wakunufaika au kuwalipa wao hawa wako kivingine wana mfumo wa payout mzuri sana pia ukilipia membership wanakupa access nyingi za kutengeza pesa mfano mtu mwenye Darasa anapewa tools kibao kwajili ya kumudu Darasa
 
Habari wadau,

Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
Km wewe ni mwanaume kuwa kama jemsi delishaz, kama wewe ni mwanamke mtaji unao mapajani
 
Wana nzengo sidhani kama wanataka platform za dizani hii ,mswahili ni mtu moja wa ajabu sana anataka platform kama instagram Facebook watapeliane wee hadi akili zisogee.

kinachonikera nchi hii wajinga ni wengi sana badala ya kupungua wanaongeza kila kukicha, project kama bongo sijui kama itamlipa sema uzuri wa Digital platforms sio lazima ufanye biashara na nchi zenye watu wajinga wajinga wengi unaweza badili currency ukafanya biashara na nchi zingine zenye watu wanaojitambua,

Biashara lazima uwe namtaji wa akili unaweza kuwa na pesa bado usifanye biashara ukatapeli hela yote
 
Hapa ndo watapigwa vizuri sana anamwambia buyer bonye hiyo button ya release payments wengi watabonyeza wajinga wengi kama matapeli wanaweza kumuelekeza mtu angie kwenye menu ya simu yake ya tigo pesa hapo watashindwa nini?
Kwamaelezo yalipo hapa mwanzo ilikuwa hivi buyers waki confem kwa kubonyeza button mzigo ulikuwa unasoma pale pale kwa salers nahisi kama walipata changamoto sahivi wameondoa direct release payments ukimaliza na buyer unakuja kwa admin anapiga hadi simu kwa buyers wahuni wa mtandaoni sio watu wazuri
 
Unajijibu kwa id tofauti humu jf ...? Hahahahaha
 
Ipo fanya biashara online ,mfano Kama unajuana na mtu anauza bidhaa mfano nguo ,piga pic Kama inauzwa 25 wewe uza 35 ,,akikubal unachukua unamplekea ,mim nauza dawa za nguvu waweza tangaza ukipata mteja unamuuzia bei yako mm 30 yangu iko palepale
 
Inawezekana kabisa. Unaweza ukafanya business kama winga kwenye maduka ya lumumba mle vijana kibao hawana mitaji ila wanapiga hela kwa kutumia uaminifu madukani mle.
 
Ipo fanya biashara online ,mfano Kama unajuana na mtu anauza bidhaa mfano nguo ,piga pic Kama inauzwa 25 wewe uza 35 ,,akikubal unachukua unamplekea ,mim nauza dawa za nguvu waweza tangaza ukipata mteja unamuuzia bei yako mm 30 yangu iko palepale
Dawa za nguvu zipi?
 
Naomba kueleweshwa zaidi kuhusu huu mchakato bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…