Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku


Hata kama una elimu kubwa ya biashara unatakiwa uwe mtu unajifunze kwa wengine yaan mawazo ya watu wengine sio kwasababu wewe una uzoefu wa biashara ndo unaona umemaliza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimsikilize huyo anayekudanganya kuhusu pikipiki hiyo ni biashara ya kupuuzi mnoo achana nayo kabisa. Kwanza piki piki mpya zinaibiwa sana na hap hajakuwekea hesabu ya service na vingine. Biashara ya kichwani ni tofauti na ya mtaani haiendi ivyo...

Kweli kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last advice:

Invest in different businesses with that 100m, and stop thinking on profit of 200,000 per day. As your businesses grow you will make much more than what you invested in

[emoji120][emoji120][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada hizo post zako za nyuma [emoji622]

Si ulikuwa na mtaji wa mill 50, hatimaye imefika 100,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ni mfanyabiashara vile vile ni mwajiriwa mshahara wa ni $3000. Kwa mwez
Mbali naajira nafanya biashara inayonipa pesa nzuri vile na nina uzoefu na biashara.
Licha ya uzoefu unatakiwa upite kwa watu wengne upate mawazo ya watu wengine ili uchanganye nayakwako upate kujifunza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu KIN NIGGA unataka kuwekeza Tanzania, Congo au Marekani ?

Nataka nikushauri cha kufanya.
 
Niliwahi kua nastationery mashine ya copy ikazingua nikabadili gia angania nakufanya iwe playstation center, ilinigarimu 500k tu kuikamilisha, nilikua nalaza 20k-25k kwasiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…