Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?


Dhahabu ukubali kusoma mchezo kwanza..then usiwe mtu wa kukata tamaa...jitune maisha ya porini...kuwa SMART... hela utaiona! Sijui kama kuna sehemu hawajui wala kufahamu kukata tamaa kama machimboni..hii spirit ingekuwa kwa kila raia maisha yangekua nafuu sana
 
Sasa ulitakiw uwe unapelelza uanzee kupeleka mwwnye mzigo.niliona wschina wanaichkua sana lushoto
 
Hakuna tena wengine wote tunagombaniana buguruni , huu mhogo wachina sio wanakula wanafuata starch na kuna mbegu maalum yenye starch nyingi.
Mkuu mbegu unanunua wapi? Na wanauzaje
Au unatumia za wakulima wenzio wakishavuna ?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nikaona mtu anapenda kuandika Kiswaenglish na viashiria vya kujifanya anajua sana hua kumdharau na kumpuuza kama mtu mjinga mjinga tu
 
Kubet
Kuuza madawa ya kulevya
Kuuza pembe za ndovu
Kuingiza bidhaa kutoka nchi za nje kwa magendo
Kusafilisha wahamiaji haramu
Mkuu jaribu Kati ya moja hapo juu nadhani utajutia huu mwaka auishi unaanza kuongea lugha moja na kina Mo na bhakheresa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…