Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

Kubeti , mashine za mchina na nyingine haramu
 
Hiki kilimo cha maua kikoje? Nifahamishe+
Ni kilimo cha maua (Cut flowers)ambayo mara nyingi huuzwa ktk Mataifa ya Ulaya,Sema initial cost ni kubwa kodogo kwasababu huwa kinafanyika ktk Kitalu nyumba (Green house/Screen house).Hivyo Kuna gharama za kuweka hiyo green house.Maeneo km Arusha Kuna Wakulima wakubwa wanaojishughulisha na kilimo hiki.My.take km unataka kujifunza vizuri Nenda Arusha,hapa JF hutaweza kupata Ukweli wote kuhusu Kilimo hiki,ninaposema ukweli wote namaanisha Strength and weekness,kwa kuambiwa na Wakulima wenyewe sio kusoma kwenye media.
 
Kama kuna tajiri mmoja hk Moshi ananyonya wafanyakazi mpaka too much. Nilifanya kazi kwake nikaona nitazeekea pale niliondoka baada ya miezi kumi kwa speed ya jet
Ilikua ni biashara gani mkuu.
 
Kama kuna tajiri mmoja hk Moshi ananyonya wafanyakazi mpaka too much. Nilifanya kazi kwake nikaona nitazeekea pale niliondoka baada ya miezi kumi kwa speed ya jet
Miezi kumi🙄🙄..ila tayari ulishanyonywa.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Safi sana mkuu, hongera sana, kuna kitu umenifundisha hapa
 
🙏🙏
 
Fact
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…