Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

GPS Arusha napata wapi?
Je ya piki piki ni maalumu tofauti na bajaji na gari? Au mtu unaweza funga chombo chochote hiyo hiyo?
 
Acha masiara watu tuna mitaji ya laki tano familia zinaishi raha mstarehe na bia tunagonga na michepuko inakura bata

Sababu hamfanyi biashara za uchuuzi.

Biashara za uchuuzi ni tofauti na biashara za value added ama biashara za productions.

Biashara za kuuza duka ni uchuuzi 100% ambapo kuifilisi ni dakika tu.

Milioni 10 sio nyingi kwenye uchuuzi
 
Hardware ulianza na mtaji wa sh ngap
 
Siku hizi bodadoda inaleta 15,000 kwa boss? Bajaji je?
 
Kama bado unahitaji kufanya biashara nicheki pm andaa mtaji wa 1.5M, ukija pm nimiadi yakuonana tukutane live tuzungumze.
 
Kwa hiyo milion 10 ni mtaji mdogo? Kwa hiyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?
Hajasema Biashara Gani mshaparurana mara hautoshiii mara kiasi Gani kina faa ....KIMFAACHO MTU CHAKE ....kiwango Cha mtaji ni DETERMINATION YAKO TOWARDS IT..... Hata ungekuwa na milioni 100 if ur not determined to it , u won't make it.
 
Ukajiunga na wale .....Good morning Billionaire.....
 
Mkuu, miezi mitatu ya mwanzo nilikuwa nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya, nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoani, ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2m
Ulikuwa haufanyi Stock-Taking angalau Kila wiki!!?? Mpaka mtaji na supplies zinakuwa depleted Mzee kiasi mpaka 3.M!!? Ulipunguza umaini na kumuamini dogolasi.
 

Nilicho kisema nina ushahid nacho achilia mbali hao jamaa ila nami pia Nafanya hyo biashara

Huwa Iko hv utapata wazo la kufanya biashara Au kutofanya aina flan ya hyo biashara kutokana tu kwa yule alie wahi Au anaefanya hyo biashara
 
Kila jioni anaenda benki kupanga foleni ku deposit 15,000/= ???

Haya n makubalina kat ya mmiliki na deleva kwa cku n ngap

Sio lazma iwe hyo hata elf 5 ukitaka n sawa hii n nyinyi wa2

Na kumbuka mkataba wa bajaj n kuanzia miaka 2 Mpaka miaka 2 na miez 2,3
 
HV biashara ya kuuzaelctoronic imekaje haswa vifa vya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…