Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
GPS Arusha napata wapi?Bznes n kaz nzur na n kaz ngum.. inahitaj mda wa kuifatilia km n mwajiliwa ufatiliaj wako n ngum kuwepo kweny biashara yako
Yakulazm kufanya biasahara ambayo haitakuhitaj uwepo mda wotee mfano
Biashara ya Bodaboda hiii haihitaj kuwepo unachotakiwq n kumpata kijana mweny familia na kuingia nae mkataba ambae tayal anafanya hyo kaz
10m unapata boda 5 at once tvs /boxer inategemea na bei wakat huo ila inaanza na 2.4m 2.5m hapo umepeta na punguzo
Ukiweka GPS lak1- lak1.5 then mkataba wa miez 10 kila cku elf 15 kwa mwez 450,000k
450,000*10=4,500,000/=
4,500,000*5=22,500,000/=
22 n baada ya miez kum Haya chukulia kwa mwaka tuu Yan miez 2 iwe ile ya usumbufu wakat ya malejesho
Changamoto zipo ila n ku take risk na changamoto zake n kutopata mwaminifu
Ishu ya kuibiwa ipo ila GPS kidogo inapunguza na inasaidia uwezekano wa kuipata
Je ya piki piki ni maalumu tofauti na bajaji na gari? Au mtu unaweza funga chombo chochote hiyo hiyo?