The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Sure bro!then, ulitakiwa kujua biashara yake kabla ya kuhitimisha kwamba mil 10 ni mtaji mdogo.,,
Mwisho nimesoma post zake baada ya post yangu akisema ilikuwa biashara ya spare za magari incl tyre&batteries kwa biashara hii ukisoma post yangu #4 yenye mzizi wa mabishano haya utagundua nilichokiandika kwamba ilikuwa lazima faida ya biashara hii iendelee kuzunguka ndani ya mtaji wake.
Ukweli biashara hiyo 10mill ni ndogo,ukisema hiyo hela uigawanye uchukue tairi japo size tatu pc mbili mbili uchukue betr aina tatu N40 2 N50 mbili N70 mbili uchukue na spare hata kila item pcs mbili mbili bado huwezi kusema million kumi ni nyingi,Ila mdau anguko lake (hakujua) lipo ktk style aliyoanza nayo kwanza kuweka mtu kabla biashara haijaimarika pili kuanza ktk step kubwa kianzio kikiwa kidogo.