UTT ni taasisi ya serikali. Haiwezi kuwa ya kitapeli.UTT sio deci mkuu, watu wanaitumia miaka mingi mno
Faida nyingine ya kuwekeza huku riba yako haikatwi withholding tax kama kwenye hisa au fixed deposits.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTT ni taasisi ya serikali. Haiwezi kuwa ya kitapeli.UTT sio deci mkuu, watu wanaitumia miaka mingi mno
Mkuu kuna namba yako uliweka humu haipatikani nina shida na wewwKama
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???
Mwenye milioni 300 anakuwaga hivi?Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Kumbe ndio umeanza. Biashara inakua mkuu. Huwezi kuanza tu halafu mwezi huo huo upate faida kubwa. Tena una bahati kupata hata hio faida ndogo. Muhimu komaa tu utaona matunda yake.Ndio mwezi wa kwanza huu mkuu tangu nianze
Anakuaje mkuu?Mwenye milioni 300 anakuwaga hivi?
Walengaji tuko nao kitaa huku na kila siku tunawanunulia k-vant Sasa sjui hesabu hizo hawazionagi au la?😄😄
Bihashara kichaaa iyo umeona, watu wana magari yamepaki kwy Yard yanaoza unasema unapata faidaKama
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???
Idea ya bond ni kumuondoa kwenye risk anayocheza nayo saa hii ,Duh brother, sikubaliani na wewe:
300m x 12% = 36m
36m/12 = 3m paid annually.
Scenario ya pili
300m x 15 = 45m
45m/12 = 3.75m paid after 6 months 22.5m
Hizi zote ni risk free investment.
Yeye amesema anapata 5m/m lakini bado ana obligation ya kulipa wafanyakazi na hela yake anaipata kila mwezi.
Miezi 6 unasubiri hela ya BOT utajikuta umeishakopa kwingine au umekula mtaji kwingine.
Kwa mtu wa mahesabu kupata 5m/m from 300m investment inaoonyesha hakuwa makini kuchagua wapi awekeze hela yake.
There are better investment opportunities with higher ROI than the one he went for.
Soma maelekezo vizuri, Ndio nyinyi kwy madini mnauziwa chupa badala ya madiniUlitaka yote 300m kwa mwezi? Kama umeondoka running costs na ukabaki na 5m kwa mwezi sioni kama ni dhambi
Kwa mwaka au kwa mweziKwa hio hela nafikiri kama ungeiweka kwenye bonds ungeondokana na hizo headaches kabisa. Fanya 12%×300,000,000, hio ni uTT ila BoT wanatoaga hadi 15% at times.
Unajua nini kuhusu elution plant kaka? Give me some brainUnapigwa madini feki, bora kuanzisha plant ya kusafishia😅😅😅
Una mtazamo chanya sana, moja ya kanuni kuu ni kuwa usitage mayai yote kwenye kiota kimoja.Biashara ni ngumu sana nikiwaza nasema tu wacha wafanyabiashara tuitwe risk takers
Nina biashara 3
Moja mtaji laki 3 ila kila siku napokea feturn ya avarage ya 9000
Nyingine ina mtaji 2,000,000 return yake monthly hata laki na nusu haifikishi (though ni eneo la kimkakati huko mbele italeta return nzuri tu I hope)
Biashara ya 3 Mtaji milion 2 , daily return wastan ni sh 10,000
Cha kushangaza eti naogopa kupoteza ile location ya biashara ya pili nikiamini nikiiacha nitakuja kuililia huko mbele maana ni potential area sana huko mbele miaka mitano baadae
Na zote tatu ni biashara zisizo na mwingiliano yaani ni biashara tofauti kabisa.
Biashara ni ngumu sana for sure
Kama biashara gan,na mm nina kahela kangu hapa wala sieleweiBiashara [emoji23],
Tutagawana faida[emoji41]
Usiguse mkuu, utakufa na presha ndugu yanguChallenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
Nope, kwa maelezo aliyoyatoa ni vigumu kumpa ushauri. Hajaeleza anafanya biashara gani, ana muda gani katika hiyo biashara, yupo eneo gani na stock anapata wapi. Wateja wake ni akina nani. Issue za kodi yupo vizuri?Anaepata 5m per month kwa mtaji wa 300m, anapata faida nzuri.
Hasa kama anatoa ajira kwa watu, hiyo pia ni faida.
Tayariiiiiii. Hii nchi hiiNdugu yangu Manzile njoo inbox nikufundishe jambo, hutawahi rudi tena hapa ukilalama, chukulia ujumbe wangu serious