Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu jitahidi sana kupunguza mawazo HASI mtu anapo omba ushauriWaafrica kila mwenye pesa anawaza kufanya biashara. Biashara ni Hobby, Biashara inahitaji spirt kubwa sana, Biashara inamuhitaji mwenye wazo awe intact kwenye eneo la biashara ili kuendeleleza ile wazo yake.
Sasa watu wanajidanganya kwamba anaweza muweka Mke/mme/Baba/Mama/KAka/Dada/Mjomba/Shangazi/Shemeji/Baba mkwe/Mama mkwe wasimamie wazo, hii ni kujidanganya, hao hawajui lolote sio initiator wa wazo.
Ndioa maana wakina Mengi au wakina Bagharesa walianza kusiamamia wazo lao hadi walipo fikia levo za juu kabisa za kufanya deligate.
Sasa wewe day one ya Biashara yako inaanza na kukaimisha mtu, hio biashara haitafika kokote kule
Kama huwezi/huna muda wa kusimamia wazo lako nakushauri hizo pesa nunua hata bond za Serikali tu, la sivyo utazika pesa zote na utakuja lilia chooni kilio cha kujuta.Biashara za kupiga simu sio biashara.
Biashara yoyote ile ni risk taking.... hata ukiwa na passion na ukasimama mwenyewe bado sio guarantee kwamba utafanikiwa
Kila nikikumbuka jinsi watu kama wewe walivyonikatisha tamaa nilipotaka kuanzisha biashara yangu nikiwa kibaruani huwa nabaki nacheka tu........ leo hii nina vibiashara vyangu zaidi ya 5 napiga simu tu na maisha ya songa kiroho safi