Biashara Tanzania ni pasua kichwa. Ukiondolewa kwenye reli, kurudi na kukaa sawa si rahisi

wakitumia cheat codes za biashara wanatoboa. Tatizo mabadiliko ya kiuchumi duniani yamefanya tubadili uendeshwaji wa biashara tofauti na miaka ya nyuma.
 
Sera mbovu za JPM ndo zipi ambazo ziliwafanya wafilisike? Sisi tunajua JPM alitetea watu wa haki na kuwakandamiza wezi kwa maana ya viongizi mafisadi, na wafanya biashara waliokwepa Kodi kila mala, sasa huyo kama alikua mtu wa haki ktk biashara yake aliondokaje kwenye reli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba hii nimeielewa sanaaa.
Mapambano YANAENDELEA.

#YNWA
 
Kuna jamaa yangu alikua na biashara zake kibaha maili moja, 2016 alifilisika akahamia morogoro bado mambo yakawa magumu ikabidi ahamie chalinze bado hajarudi kwenye reli amekua baba wa nyumbani, wife wake ndio anapambana biashara za sokoni kuuza nyanya chungu
 
Hizo zinaitwa bahati mbaya ambazo umpata yeyote
 
Atakaa sawa tu. Ni nyakati tu katika maisha.
 
wengine huwa ni matajiri wa pesa za mapaka, inapofika muda zinaexpire au zinahitaji kurenew alfu mhusika anashindwa, gafla miradi na asset alizokuwa nazo muhusika zinapukutika kwa spidi ya ajabu
Achana na story hizo fanya kazi
 
Dah! Huu uzi kama unatutisha vile sisi wengine tuliokimbia kazi za kuajiriwa na kuingia kwenye biashara. All in all, nilichogundua, biashara inahitaji muda wote kichwa kiwe active.
Biashara kila siku uwe active kichwani kwasbb kuna catalysts nyingi za kubadili mfumo wa biashara ukikalili biashara unaumia mda wote wote.
 
Dah! Huu uzi kama unatutisha vile sisi wengine tuliokimbia kazi za kuajiriwa na kuingia kwenye biashara. All in all, nilichogundua, biashara inahitaji muda wote kichwa kiwe active.
Mkuu wala usitishike hakuna mfanyabiashara anaweza kuandika nyuzi kama hii.. sisi waajiriwa ndio zetu kuandika nyuzi za namna hii ili kubalance mamb
Wewe endelea kupambana ufikie malengo yako
 
Ndo mana viongozi wa wetu hawataki kuachia madaraka . Wanajua wazi kama wakiachia, ajira kama hiyo ya kuchangiwa kipato na nwananchi kamwe hawatakuja kupata tena .

Hali ya biashara wanaijua,viongozi wengi ni wezi wa mali za umma na wanaendesha biashara zao kwa pesa za kuiba kutoka kwenye mifuko ya serikali.
 
Mkuu wala usitishike hakuna mfanyabiashara anaweza kuandika nyuzi kama hii.. sisi waajiriwa ndio zetu kuandika nyuzi za namna hii ili kubalance mamb
Wewe endelea kupambana ufikie malengo yako
Mmh mkuu tuko kwenye system ya biashara, biashara inahitaji umakini sanaa ukichezea unapoteza mtaji kabisa.
 
Sababu huwajui unahadisiwa ndio maana kila mtu anapitia magumu, sema wana society ambazo zinawasaidia.
Wahindi na waarabu wanabebana sana huwa hawakubali kuona mwenzao amefilisika,ila kwa watu weusi ukifilisika huo mzigo ni wako peke yako usitegemee kuna mtu atakuja kukuinua.
Utamaduni wetu ni wa kuchangiana harusi tu.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Naam japo si wote, Wachaga, wakinga na wengine waliofanikiwa biashara pia hubebana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…