mud-oil-chafu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2020
- 587
- 954
Hii ishu au ifananayo...ingekuwa inawahusu Simba tff huwa anapambania sana...hata ishu ya mashabiki tff alijitoaNyie Mwijaku FC hamuishiwi vituko humu jamii forum [emoji3525],mnaishushia hadhi hii huu mtandao kwa thread hizi za darasa la pili[emoji849][emoji849][emoji849]
Ni kuwaacha tu mafala...Hii ishu au ifananayo...ingekuwa inawahusu Simba tff huwa anapambania sana...hata ishu ya mashabiki tff alijitoa
[emoji200][emoji200][emoji200]Umbwa maza wako
Watapewa majibu JumatatuNi mapema sana kusema biashara imeondolewa kwenye mashindano kwa sababu tayari TFF wameshatuma taarifa CAF na kuomba match isogezwe hadi j4 ko majibu bado ndo tunasikilizia sshv.
Ni nchi 12 tu zinaingiza teams 4 ,kenya uganda rwanda burundi hawajawahi hata mara moja sisi ni mara mbili kutokana na juhudi za simba mwaka huu tutawabeba tena ingawa kuna kampeni ya kuvunja viungo mastaa wetu kwa hela zinazoitwa hamassaSioni mahusiano ya kilichowakuta biashara na juhudi za simba kwenye michuano ya CAF. Ebu acheni ushabiki usio na kichwa wala mkia.
Yaan jamaa Wana mambo ya kitoto sana Kila siku kulia Lia eti watatuvunjia wachezaji wetuSimba wamekuwa watoto wa kike, msimu uliopita walilalamika eti Prisons inawachezea rafu, msimu huu game zimekuwa ngumu wanailaumu Yanga. Hawa waachane na soka wahamie kwenye unenguaji ndiko watamudu vizuri kwa sasa.
Ni nchi 12 tu zinaingiza teams 4 ,kenya uganda rwanda burundi hawajawahi hata mara moja sisi ni mara mbili kutokana na juhudi za simba mwaka huu tutawabeba tena ingawa kuna kampeni ya kuvunja viungo mastaa wetu kwa hela zinazoitwa hamassa
Utoe ndege kwa ajili ya wajinga fulani wakacheze mpira? Kila mwaka si itakuwa hivyo hivyo?Raisi wa Burundi alipewa ndege yetu kama usafiri...ajabu timu yetu wawakilishi kimataifa hawajapewa wala kusaidiwa chochote.
Mil 15 unaweza kwenda LIBYA na kurudi kwa akili zako??Timu kama hizi hata zikishuka daraja kama ni sawa tu.
Aliyewaahidi milioni 15 yuko wapi?
acha kupotosha kwani tff ina kosa gani? ulitaka tff ndo walipe gharama za kusafirisha timu? labda ingekuwa timu ya taifa ndo uongee hivyoTulisema yule msomali hafai kabisa kuongoza TFF haya ndio mambo alitakiwa ashughulikie lakini wapi. Kazi kubebwa tu na wanasiasa wa ccm.
Kuna uzembe mwingi sana katika uendeshaji wa soka kwa vilabu vyetu. TFF inabidi sasa ichukue jukumu la kusaidia utaalamu na uzoefu kwa hizi timu ndogo. Wangepanda ndege moja na Azam wakawaacha pale Cairo, wadingekosa ndege kutoka pale.