Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???
Msaada Jamani
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???
Msaada Jamani