Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

kama ww n Team biashar ingia mzigoni. Swala la hasara lisikushtue. Ukishaanza utarud kutup feedback ya mianya na wanajamvi wataitatua nn cha kufanya.
Cha muhimu kwenye hii biashara n location ikiwa ina saoot unawez imgi pesa nyi g kwa siku ww kua na uthubutu pasipo kujali hasara wengin tunaingiz pesa kwa kila mwezi . Ww utaingiza kwa mwezi na kwa siku CHA MSINGI NI UWEZO WAKO WA KIHILI STRESS

kama ilo eneo lin wauzaji wengn bas kajipanf kweny imani yako light side au dark side protection y biashara n muhim ila z binadamu n nying

Mfanyakaz wko hasijue ABC zko unapotoa mzigo yaan viazi. Yy a focus n kutengenez usimp jukum l kuw msimamiz

kam ilivy kw wabong uwa tunataft miany y kupig hela. Zoez lko n kuibaini mianya mapem n kudhibit upigaj
 
ni kweli mkuu ni kuthubutu tu
 
Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi

Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???

Msaada Jamani
Ushauri wangu
Kama umeajiriwa chukukua likizo, ya mwezi anza kufanya biashara naye, ili kujua mzunguko , ikishajua biashara inaendaje mwekee hesabu ya siku awe anakuletea kulingana na investment uliyoweka ya materia husika na mtaji ubaki pale pale! Labda kila siku 40, 20 n.k na ajilipe pesa yake , mfano kama hesabu ya daladala ila ukirudisha kulaza gari na mafuta ya boss aliyokuwekea yawepo na hesabu yake!!
 
Back
Top Bottom