Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

Nje ya kumpa target kwa siku umeliwa.
Analeta vya kwake anauza vyako vinabaki na Bado unamlipa mshahara plus kukuibia akahonge na kunywa bia.
Kama hauna mda wa karibu kusimamia biashara zako ushauri wangu hio pesa bora ukahonge.Au mpe mzazi wako akupe baraka.
Waswahili walio seriously na maisha ni wachache.
 
Biashara zote bila kuwepo au camera ni sawa na shamba lililovamiwa na panya.
Jiulize kwann wahindi utembea na ufunguo wa duka na kama ni mchana wakienda ibadani Kwann wasimuachie mswahili aendelee kuuza bali ufunga.
Na Bado wanapiga, ukitaka kufanya KAZI na mswahili kaa nyuma yake.
Mswahili inatakiwa uzitumie nguvu zake na sio akili yake.
 
Hapa kwenye kumpa target naomba nieleweshe kaka
 
Hii tamu ila nieleweshe HapO kwenye kumpa target inakuaje??
 
Hapa kwenye kumpa target naomba nieleweshe kaka
Uwe unakaa mara kwa mara uone trend ya siku inaendaje ndio itakupa ujue kwa siku anaweza uza kiasi gani.

Pia uwe na akili kama ya nyoka uwe mtu wa kudadisi dadisi sana.
Ukiweza tafuta chawa wako wa kukupa info,au katika hao wafanyazi wafanye wote wawe chawa bila kujuana ndio wafanyavyo wahindi yaani mvute pembeni mmoja mmoja mwambie takuongeza maswali pia takufungulia kijiwe kingine utakaa so hapa wewe ndie jicho langu,na mwingine pia mwambie hivyo hivyo watachunguzana wenyewe kwa wenyewe.
Waswahili hawana huruma na pesa ya mtu hata kama ulihatarisha kazi kuipata pesa hio.
Wao uwaza hela ya kufungua zipu na vizibo vya bia tu wakati wewe unawaza kesho.
 
Kwa eneo ambalo zinaweza kutoka Sahani 100+ kwa siku je ??? Ipi inafaa kuwa target ya siku??
 
Utapata wakati mgumu sana kumanage biashara ukiwa haupo eneo lako la biashara. Hii ndio shida common. Unless uajiri manager au management ya kusimamia kazi yako. But ukiweka mfanyakazi halafu wewe haupo, ule mzigo anaobeba wa majukumu plus uhitaji wa mafanikio lazima mtaangukia kwenye mgogoro wa masilahi.

Ushauri wangu mwingine ni kanunue biashara ambayo tayari imechangamka na ipo active ila mwenyewe anaiuza ana mipango mipya. Ukinunua hiyo unakuwa kwenye mazingira mazuri ya kukimbiza biashara.
 
Duuuh kumbe Wana mbinu nyingi hivi ila muuzaji ni MTU ambaye nimemtoa nyumbani huko mkoani ila amefanyaga hizo kazi Sana huku mjini zamani now namrudisha mjini kwahyo atakuwa anakaa ninapolipia Mimi na kila kitu itakuwa juu yangu na nategemea ukuaji mzuri ili na yeye nimpe cheo kizuri na malipo mazuri baadae Eneo na mauzo vikikua
Huyo sasa ndio anakuwa mwizi mzuri sana.
 
Utapata wakati mgumu sana kumanage biashara ukiwa haupo eneo lako la biashara. Hii ndio shida common. Unless uajiri manager au management ya kusimamia kazi yako. But ukiweka mfanyakazi halafu wewe haupo, ule mzigo anaobeba wa majukumu plus uhitaji wa mafanikio lazima mtaangukia kwenye mgogoro wa masilahi.
Kweli Kaka sasa napata wakati mgumu kweli
 
WAKUU tujaribuni kua siriasi jamani unaanza BIASHARA ya chips na MILIONI mbili zote HIZO ikifeli ulaum mkuu. Anza nakidogo Nisha FANYA HIYO BIASHARA hata LAKI Tano nyingi SANA unaanza nayo ukilizika unajitupa mazima

Kwishaaaaaa
Kwa hiyo unadhani kukamilisha vifaa na mali ni kazi ndogo?
 
Back
Top Bottom