- Thread starter
- #41
ETI me niliona ndio anaweza kuwa MTU sahihiHuyo sasa ndio anakuwa mwizi mzuri sana.
ETI me niliona ndio anaweza kuwa MTU sahihiHuyo sasa ndio anakuwa mwizi mzuri sana.
Hata Mimi nilimwambia hivyoKwa hiyo unadhani kukamilisha vifaa na mali ni kazi ndogo?
njoo nikuuzie vitu vyote vya chips na juice vya kisasa...pia nikupe darasa jinsi ya kufanya hiyo biashara na jinsi ya kupata faida kubwa zaidi hata kama mfanyakaz akila hawezi gusa faida yakoKutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???
Msaada Jamani
Nakuja kakanjoo nikuuzie vitu vyote vya chips na juice vya kisasa...pia nikupe darasa jinsi ya kufanya hiyo biashara na jinsi ya kupata faida kubwa zaidi hata kama mfanyakaz akila hawezi gusa faida yako
chips yai
kavu
juice
kuku
mishkaki
ndizi
nipigie 0683473391
Watu washafeli sana mzee kuamini watu wengineDuuuh kumbe Wana mbinu nyingi hivi ila muuzaji ni MTU ambaye nimemtoa nyumbani huko mkoani ila amefanyaga hizo kazi Sana huku mjini zamani now namrudisha mjini kwahyo atakuwa anakaa ninapolipia Mimi na kila kitu itakuwa juu yangu na nategemea ukuaji mzuri ili na yeye nimpe cheo kizuri na malipo mazuri baadae Eneo na mauzo vikikua
Mkuu Nisha FANYA SANA HIYO KAZI NDO imen lea na NDO MANA nmemshauri asianze na advanced tools bali aanze na local tools pakichanganya ataboresha inabidi ujue hicho ni chakula SIO nguo kua inaweza kaa miezi hata sita au MWAKA. No chips zikilala LABDA KESHO uchome chips yai mchana zikifika kesho usiku zna haribika UPO APO? Nmeshuhudia WATU wakisimamisha KAZI kabla ya Kodi kuisha NDO MANA nmem SHAURI HVO HII buznee nmefanya mwenyew naijua kaka SI kusimuliwa naijua vilivo.Kwa hiyo unadhani kukamilisha vifaa na mali ni kazi ndogo?
Hata bakhresa hakuwa msimamizi wakati ana anza. Speaking from experienceShida Muda kaka..... Kuna kazi nyingine nafanya
Wewe ulikuwa unafanyia mkoa gani?Mkuu Nisha FANYA SANA HIYO KAZI NDO imen lea na NDO MANA nmemshauri asianze na advanced tools bali aanze na local tools pakichanganya ataboresha inabidi ujue hicho ni chakula SIO nguo kua inaweza kaa miezi hata sita au MWAKA. No chips zikilala LABDA KESHO uchome chips yai mchana zikifika kesho usiku zna haribika UPO APO? Nmeshuhudia WATU wakisimamisha KAZI kabla ya Kodi kuisha NDO MANA nmem SHAURI HVO HII buznee nmefanya mwenyew naijua kaka SI kusimuliwa naijua vilivo.
Kwishaaaaa
Kuna Fala mmoja nilimweka siku ya tatu tu akaanza kuuza Kuku zake, usiku analewa hatari.Nje ya kumpa target kwa siku umeliwa.
Analeta vya kwake anauza vyako vinabaki na Bado unamlipa mshahara plus kukuibia akahonge na kunywa bia.
Kama hauna mda wa karibu kusimamia biashara zako ushauri wangu hio pesa bora ukahonge.Au mpe mzazi wako akupe baraka.
Waswahili walio seriously na maisha ni wachache.
Kama hutakuwepo eneo hilo kwa muda wa kutosha tafadhali hizo hela ziwekeze hata huko UTT au kwenye kitu kingine.Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???
Msaada Jamani
Mhudumu wa bar akiruhusiwa pia kuwa ndie mfungashaji wa mzigo, atahakikisha amemaliza kreti zake kwanza ndipo auze za bossMuuzaji akiuza kidoo anaenda kukinunua kingine anareplace ukipita unakuta mauzo kidogo na viazi vipo pale
ARUSHA. Dom .geita. dsm NILIKUA kwa mwarabu ilala bungoniWewe ulikuwa unafanyia mkoa gani?
Hiyo unakuwa umefeli kabla hujaanzaMpe muuzaji target, kwa siku akuletee hesabu. Kama wanavyofanya wamiliki wa daladala, boda etc.
Kulingana na sehemu kilipo wengi wanaweka target ya 50,000 kwa siku. Mtaji wa kuanzia wote ni wa kwako.
Kama huna muda biashara ya chips haikufai bora uitombee hiyo pesaKutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???
Msaada Jamani
Hahahahah nimeinukuu "Mswahili inatakiwa utumie nguvu zake na sio akili zake"Biashara zote bila kuwepo au camera ni sawa na shamba lililovamiwa na panya.
Jiulize kwann wahindi utembea na ufunguo wa duka na kama ni mchana wakienda ibadani Kwann wasimuachie mswahili aendelee kuuza bali ufunga.
Na Bado wanapiga, ukitaka kufanya KAZI na mswahili kaa nyuma yake.
Mswahili inatakiwa uzitumie nguvu zake na sio akili yake.
Anaweza kula mtaji wote ndani ya siku tano ukamwongeza pesa nyingine akachoma na bado akaleta vijisababu vingineHio business inalipa kama utaisimamia. Otherwise utoe hesabu tu awe anakupa kila jioni. Hio itamlazimisha auze vitu ulivyomuwekea.