Mkuu chipsi zinahesabika sharti apite kwenye hiyo ofisi kila sikuMpe muuzaji target, kwa siku akuletee hesabu. Kama wanavyofanya wamiliki wa daladala, boda etc.
Kulingana na sehemu kilipo wengi wanaweka target ya 50,000 kwa siku. Mtaji wa kuanzia wote ni wa kwako.
Muuzaji akiuza kidoo anaenda kukinunua kingine anareplace ukipita unakuta mauzo kidogo na viazi vipo paleMkuu chipsi zinahesabika sharti apite kwenye hiyo ofisi kila siku
Duuuh kumbe Wana mbinu nyingi hivi ila muuzaji ni MTU ambaye nimemtoa nyumbani huko mkoani ila amefanyaga hizo kazi Sana huku mjini zamani now namrudisha mjini kwahyo atakuwa anakaa ninapolipia Mimi na kila kitu itakuwa juu yangu na nategemea ukuaji mzuri ili na yeye nimpe cheo kizuri na malipo mazuri baadae Eneo na mauzo vikikuaMuuzaji akiuza kidoo anaenda kukinunua kingine anareplace ukipita unakuta mauzo kidogo na viazi vipo pale
Hii ni lazima ndio maana nataka kiwe Karibu na nilipo ili kila siku nikitoka kazini naenda au hata mchana ninaweza kufanya ziara ya kishtukizaMkuu chipsi zinahesabika sharti apite kwenye hiyo ofisi kila siku
Umefeli kabla hujaanza.Duuuh kumbe Wana mbinu nyingi hivi ila muuzaji ni MTU ambaye nimemtoa nyumbani huko mkoani ila amefanyaga hizo kazi Sana huku mjini zamani now namrudisha mjini kwahyo atakuwa anakaa ninapolipia Mimi na kila kitu itakuwa juu yangu na nategemea ukuaji mzuri ili na yeye nimpe cheo kizuri na malipo mazuri baadae Eneo na mauzo vikikua
Kiaje sasa??Umefeli kabla hujaanza.
Biashara fanya mwenyewe. Wale wafanyakazi wafanye ukiwepo sio unaenda kama visitorKiaje sasa??
Shida Muda kaka..... Kuna kazi nyingine nafanyaBiashara fanya mwenyewe. Wale wafanyakazi wafanye ukiwepo sio unaenda kama visitor
Duuuh kwahyo unashauri nifanye nini kaka??Kwa mtazamo wangu Biashara kama huwezi kuisimamia mwenyewe moja kwa moja mara nyingi huwa inaanguka tu mkuu, ni baadhi zenye mitaji mikubwa unaweza kuzi manage bila uwepo wako mfano maduka ya jumla hata usipokuwepo unaweza tu kupata faida maana bidhaa zinafahamika hutoi nusunusu, au Hardware mifuko ya cement ikiwa 50 ukikuta imebaki 30 unajua tu 20 imeuzwa unachukua kibunda chako.
Ila hizi biashara zingine za rejareja ni muhimu uwepo, mfano duka la rejareja kwenye mfuko wa sukari wa kilo 50 mtu anaweza kuuza kilo 5 akaweka hela mfukoni na usijue majibu utayapata mwishoni unaona hamna faida.
Imelazimu kuwa hivyo maana Gharama za Banda Kodi ya wenye Eneo Vifaa na Mtaji WA vyakula na pesa ya dharula pia IPO Tena kubwa kaka ndio hesabu baada ya hayo yote ikaja hivyoWAKUU tujaribuni kua siriasi jamani unaanza BIASHARA ya chips na MILIONI mbili zote HIZO ikifeli ulaum mkuu. Anza nakidogo Nisha FANYA HIYO BIASHARA hata LAKI Tano nyingi SANA unaanza nayo ukilizika unajitupa mazima
Kwishaaaaaa
Naona watu wengi wanaofanya biashara za chips huwa wanaajiri vijana na wao wanasimamia hapohapo utakuta yeye anapokea hela na kusimamia Expenses zote akiwa yupo hapo, na kiukweli wanapiga hela kuna mwamba kajenga kwa kazi hizo hizo za chips ila hakuna siku hata 1 ambayo nimewahi kukuta hayupo kwenye biashara yakeDuuuh kwahyo unashauri nifanye nini kaka??
Duuuh kumbe Wana mbinu nyingi hivi ila muuzaji ni MTU ambaye nimemtoa nyumbani huko mkoani ila amefanyaga hizo kazi Sana huku mjini zamani now namrudisha mjini kwahyo atakuwa anakaa ninapolipia Mimi na kila kitu itakuwa juu yangu na nategemea ukuaji mzuri ili na yeye nimpe cheo kizuri na malipo mazuri baadae Eneo na mauzo vikikua
Duh ngoja nitafute njia Bora maana kujigawa siweziNaona watu wengi wanaofanya biashara za chips huwa wanaajiri vijana na wao wanasimamia hapohapo utakuta yeye anapokea hela na kusimamia Expenses zote akiwa yupo hapo, na kiukweli wanapiga hela kuna mwamba kajenga kwa kazi hizo hizo za chips ila hakuna siku hata 1 ambayo nimewahi kukuta hayupo kwenye biashara yake
ππππππ Duh Hilo nalo neno kakaWatu wanafilisiwa na ndugu wa kuzaliwa kabisa wewe unazungumzia mtu uliyemtoa nyumbani?π
Ni kweli ILA Hilo SI kampuni ni kibiashara kidogo jitahidi bana PESA isizidi LAKI Tisa.Anza na vyombo loko usichukue advanced tools kwanza. Kuna washkaji kama WEWE tuliwapa USHAURI wakapuuza MWISHO WA SIKU wakafunga hata Kodi hazijaisha wakaanza KUTAFUTA WATU wawauzie vyombo hivo anza na kidogo SANA UTASOMA upepo. Ukichanganya nawe unatoka silaha SASA mnakabilianaImelazimu kuwa hivyo maana Gharama za Banda Kodi ya wenye Eneo Vifaa na Mtaji WA vyakula na pesa ya dharula pia IPO Tena kubwa kaka ndio hesabu baada ya hayo yote ikaja hivyo
Hii ni nzuri Sana kaka ngoja nianze na kidogo kweliNi kweli ILA Hilo SI kampuni ni kibiashara kidogo jitahidi bana PESA isizidi LAKI Tisa.Anza na vyombo loko usichukue advanced tools kwanza. Kuna washkaji kama WEWE tuliwapa USHAURI wakapuuza MWISHO WA SIKU wakafunga hata Kodi hazijaisha wakaanza KUTAFUTA WATU wawauzie vyombo hivo anza na kidogo SANA UTASOMA upepo. Ukichanganya nawe unatoka silaha SASA mnakabiliana
Kwishaaa