Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

njoo nikuuzie vitu vyote vya chips na juice vya kisasa...pia nikupe darasa jinsi ya kufanya hiyo biashara na jinsi ya kupata faida kubwa zaidi hata kama mfanyakaz akila hawezi gusa faida yako
chips yai
kavu
juice
kuku
mishkaki
ndizi
nipigie 0683473391
 
Watu washafeli sana mzee kuamini watu wengine
 
Kwa hiyo unadhani kukamilisha vifaa na mali ni kazi ndogo?
Mkuu Nisha FANYA SANA HIYO KAZI NDO imen lea na NDO MANA nmemshauri asianze na advanced tools bali aanze na local tools pakichanganya ataboresha inabidi ujue hicho ni chakula SIO nguo kua inaweza kaa miezi hata sita au MWAKA. No chips zikilala LABDA KESHO uchome chips yai mchana zikifika kesho usiku zna haribika UPO APO? Nmeshuhudia WATU wakisimamisha KAZI kabla ya Kodi kuisha NDO MANA nmem SHAURI HVO HII buznee nmefanya mwenyew naijua kaka SI kusimuliwa naijua vilivo.



Kwishaaaaa
 
Wewe ulikuwa unafanyia mkoa gani?
 
Kuna Fala mmoja nilimweka siku ya tatu tu akaanza kuuza Kuku zake, usiku analewa hatari.

Hahahaha
 
Kama hutakuwepo eneo hilo kwa muda wa kutosha tafadhali hizo hela ziwekeze hata huko UTT au kwenye kitu kingine.
 
Fungua Biashara hii lakini wewe uwe msimamizi 100% lakini hii Idea ya kumuajili mtu halafu uwe unamtembelea from time to time, mimk sikushauri hata kwa asilimia 0.01.
Dala dala/boda boda Idea yako inafaa lakini siyo kwa biashara ya Chipsi
 
Kama huna muda biashara ya chips haikufai bora uitombee hiyo pesa
 
Hahahahah nimeinukuu "Mswahili inatakiwa utumie nguvu zake na sio akili zake"
 
Hio business inalipa kama utaisimamia. Otherwise utoe hesabu tu awe anakupa kila jioni. Hio itamlazimisha auze vitu ulivyomuwekea.
 
Hio business inalipa kama utaisimamia. Otherwise utoe hesabu tu awe anakupa kila jioni. Hio itamlazimisha auze vitu ulivyomuwekea.
Anaweza kula mtaji wote ndani ya siku tano ukamwongeza pesa nyingine akachoma na bado akaleta vijisababu vingine
 
Kuna mdada anakomaa na hiyo biashara, yan akiwa na dharula huwa anaona bora afunge, huwa anasema akiwaacha vijana hata masaa tu lazima wampige hasara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…