B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Hio business inalipa kama utaisimamia. Otherwise utoe hesabu tu awe anakupa kila jioni. Hio itamlazimisha auze vitu ulivyomuwekea.
ni kweli mkuu ni kuthubutu tukama ww n Team biashar ingia mzigoni. Swala la hasara lisikushtue. Ukishaanza utarud kutup feedback ya mianya na wanajamvi wataitatua nn cha kufanya.
Cha muhimu kwenye hii biashara n location ikiwa ina saoot unawez imgi pesa nyi g kwa siku ww kua na uthubutu pasipo kujali hasara wengin tunaingiz pesa kwa kila mwezi . Ww utaingiza kwa mwezi na kwa siku CHA MSINGI NI UWEZO WAKO WA KIHILI STRESS
kama ilo eneo lin wauzaji wengn bas kajipanf kweny imani yako light side au dark side protection y biashara n muhim ila z binadamu n nying
Mfanyakaz wko hasijue ABC zko unapotoa mzigo yaan viazi. Yy a focus n kutengenez usimp jukum l kuw msimamiz
kam ilivy kw wabong uwa tunataft miany y kupig hela. Zoez lko n kuibaini mianya mapem n kudhibit upigaj
πππππππKuna Fala mmoja nilimweka siku ya tatu tu akaanza kuuza Kuku zake, usiku analewa hatari.
Hahahaha
Ushauri wanguKutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia wateja na kuongeza Faida zaidi???
Msaada Jamani
AiseeKuna Fala mmoja nilimweka siku ya tatu tu akaanza kuuza Kuku zake, usiku analewa hatari.
Hahahaha
Sahihi.Ukiogopa kupigwa sahau kuhusu mambo ya biashara.
Pamoja na kwamba mswahili bado yupo kwenye stage ya ukuaji unaenda nae hivyo hivyo
Naunga mkono hoja.Sasa tuletewe mrejesho au biashara ilibuma??