Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
AminaHaina shida kabisa tuombe uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaHaina shida kabisa tuombe uzima
Safi kaka a kompresa nimeipenddAchana na retail, Panga mlango mku kuu nje kidogo ya jiji (hauna gharama kubwa) nenda kwa wahindi nunua compressor mpya kubwa ya kujazia upepo tairi za magari (mara ya mwisho kuuliza bei ilikuwa ni laki 850) nunua machine ya kuchajisha betry (laki nne na nusu nadhani) nunua chupa za maji ya petri na oil chupa ndogo ndogo ongeza na oil chafu kidogo. Nunua tairi kuu kuu saizi ya madaladala yanayofanya roots sehemu ilipo fremua yako (hizi zitakusaidia daladala inakuja na pancha unamuazima tire zako aendelee na biashara wakati unaziba ya kwake kujenga mahusiano mazuri), Nunua tire rippers, ajiri kijana mmoja anza kazi iwe 24hrs. Baada ya miezi sita leta mrejesho hapa.
Yaan bila hao wachuuzi je hao wenye viwanda wangepiga hatua!?Kuna watu wanakatisha tamaa hii Dunia.
Hapana mkuu bimafsi nimekuwa nafanya biashara ya genge,linalipa kwa nqmna yake,ila ukitaka kulifa ya lipate faida hiyo ni ww uwe wa kufata mzigo directly kwa mkulimaMkuu hii biashara unaijua vizuri nimekukubali, sema ndugu yangu hakuna biashara rahisi. Kwa mfano hyo ya genge nayo ni pasua kichwa kinoma. Vitu vinaharibika sana usipokua na wateja wa kutosha.
Mkuu ulifanikiwa kupata Fremu SongeaHabari zenu wakuu
Kwa wakazi wa songea mjini ,Nina wazo la kutaka kuanzisha duka la rejareja vitu vya matumizi ya nyumbani .
Tatizo Mimi sio mwenyeji sana songea hii , nilikuwa naomba kama kuna mwenyeji aniambie location nzuri nayoweza kufanyia biashara hii na frame pia ziwe zinapatikana.
Lakini pia kama Una idea nzuri tofauti na hili unaweza nishauri.
Asanteni wakuu .
Mtaji wangu ni mil 1.5
Uko wapi?Habarin ndugu naomba ushauri kwa wenye ujuzi na uzoefu,nahitaji kufungua duka la bidhaa kwa jumla na lejeleja sasa naomba msaada wa maligafi za mahitaji ya kununua Especially vyakula.
Nipo njombe mtaji n 1milnUko wapi?
Bajet ?
Ushasajili
Njoo PM
Mkuu hayo maziwa ya unga ya kupima na prestige unauza kwa jumla shingap?Sawa Sawa
Naomba ukianza nikuletee bidhaa yangu Dukani kwako!
Nilifanikiwa mkuu naendelea mdogo mdogo. Kifupi bidhaa huwa nanunulia maduka ya jumla pale Manzese Tip top na darajani na ndo nilienda kuna wauzaji waungwana sana wakanipa list zote na utaratibu wa kupanga bei.Mkuu kama umefanikiwa,naomba kwa unyenyekevu uliotukuka,unimegee na mm ujuz huo
Hilo hiloDuka La Mangi