Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mpango uliopo kwenye ilani ya ccmMmh aisee hatari..ukitaka kujua kuwa hii biashara
ni vigumu serikali kupambana nayo
angalia nchi kama colombia na mexico yaani huko wanampaka majeshi yao ya kujilinda
pia wametengeneza mtandao wao wa simu wa mawasiliano
HII BIASHARA NI NGUMU SERIKALI KUPAMBANA NAYO
PIA HATA ILE NDEGE YA MKULU NINA WASIWASI NAYO
MAANA SAFARI KILA KUMEKUCHA..
Mmh..., ila pulley ni balaa kuacha,,lazima ujidhatiti kweli kweliUlevi huu sina hakika ka unatofautiana sana na wa kupiga puli
Sasa awamu wengine wote wamefeli!
Nasisi tuige mfano, nguvu kazi inateketea kusuka mikekaSasa awamu wengine wote wamefeli!
Viwanda,biashara zingine huziski hata matangazo yke
Matangazo yanayongoza kwenye lininga na redio ni za betting
Ndomana mzee wangu t.abbas anazidi kungaraa tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hela wanayoipata si inarudi kwenye mzungukoNasisi tuige mfano, nguvu kazi inateketea kusuka mikeka
Ni kweli, duterte ni kiboko yaonenda kaone rais wa ufilipino alivyo wafanya wauza unga nchi zote zijifunze kwa rais wa ufilipino
Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae kisawa sawa, udhalilishaji!
Sasa turudi kwenye mada, habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa wazungu wanaomiliki makampuni ya kamari hapa nchini, zimevujisha kwamba, Kamari ya mpira ni 'addiction' mpya ambayo imekuwa purposely introduced globally ku-replace madawa ya kulevya, biashara hii ya kamari ina faida mara tatu kuliko madawa ya kulevya, na gharama za uendeshaji pia ni robo tu ya gharama ya kusafirisha na kuuza madawa. (And its just as addictive as madawa, ukianza huachi mpaka kufa!)
Mtandao huo wa 'kingpins' ulifanya uchunguzi hivi karibuni na kugundua kwamba, addiction kupitia madawa japo inawatajirisha madhara yake kwa dunia ni kubwa mno kiujumla!, nguvu kazi inapotea kiasi kwamba hizo fedha nyingi huishia kutibu madhara yaliyosababishwa na madawa (Mfano ukikabwa na teja akakutoa utumbo kwa sababu ya Iphone,ili yeye akapate dawa), hivyo biashara hii imepoteza viability. Amevujisha kwamba ma 'king pin' wa biashara hii wameamua ku-eradicate 'addiction' ya madawa hapa duniana na ku-'re enslave' the masses kwa kutumia addiction mpya iliyoboreshwa ya mpira na michezo kiujumla. (its better in every perspective).
(Kama hujaanza mshukuru Mungu na akulinde usiingie huko, ukiingia huko utajuta, kwani huwezi kuacha!), YOU WILL BE ENSLAVED!
Baada ya miaka mitano,65% ya vijana watakuwa wakijishughulisha na 'kusuka mikeka' badala ya kufanya shughuli za uzalishaji bidhaa na huduma. Consequently uchumi wa mataifa (hasa vichwa vya panzi kama 'wadanganyika', stupid kabisa!) utayumba kutokana na watu kutofanya kazi, lakini uchumi wa mataifa yanayomiliki hizi betting systems (hasa wazungu) utapaa kama mbayuwayu.
YOU'VE BEEN WARNED!
DON FRANCIS
==================================
18/05/2018
Update: News Alert: - Wazee Arosto la kubeti halina tofauti na kuvuta unga (cocaine)
=======================================
04/06/2018
UPDATE: Bunge laongea, hatimaye yanatimia
Hata mateja wapo wanaopona na kuacha kabisa......kwahiyo hii hoja yako haina uzito.Si kweli huwezi kufananisha betting na unga haupo serious yaan alosto ya teja wa madawa ukafananishe na waeka mikeka..
Mm nilikuwa na nafanya betting sana hadi nikawa na limashine lile la premier betting home ndani najimaliza mwenyewe ila niliamua kuacha ghafla tu kubetting na nikarudisha hile mashine kwenye office zao.
Na hadi leo wala sijihisi chochote.