Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

Mimi nimebet sana wakati ndiyo inaanza anza 2012 hadi 2016 nikaachana nayo, nahisi nimeweza kuacha kwasababu sikuwa addicted kihivyo, nimeshakula fedha ndefu ndefu kdg, tsh 887,609/= na 1,123,040/=
 
Ni mpango uliopo kwenye ilani ya ccm
 
Sasa awamu wengine wote wamefeli!
Viwanda,biashara zingine huziski hata matangazo yke
Matangazo yanayongoza kwenye lininga na redio ni za betting
Ndomana mzee wangu t.abbas anazidi kungaraa tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasisi tuige mfano, nguvu kazi inateketea kusuka mikeka
 
Wazee wa kuweka mizigo ( kubet) njooni huku uzi wetu una dhalilishwa
 
Kampuni hizi zinatengeneza hela mpaka unashangaa na kujua kweli betting ni ugonjwa na addiction kama pombe, sigara, na drugs

Miezi kadhaa iliyopita kuna Dada mmoja ambaye ni director wa 365 alijilipa hela ambazo hata ukiambiwa unaweza kubisha mpaka kwa ushahidi kama huu

Sent from my SM using Tapatalk
 
 
nenda kaone rais wa ufilipino alivyo wafanya wauza unga nchi zote zijifunze kwa rais wa ufilipino
 
Si kweli huwezi kufananisha betting na unga haupo serious yaan alosto ya teja wa madawa ukafananishe na waeka mikeka..

Mm nilikuwa na nafanya betting sana hadi nikawa na limashine lile la premier betting home ndani najimaliza mwenyewe ila niliamua kuacha ghafla tu kubetting na nikarudisha hile mashine kwenye office zao.

Na hadi leo wala sijihisi chochote.
 
Hata mateja wapo wanaopona na kuacha kabisa......kwahiyo hii hoja yako haina uzito.

Ila fahamu kitu kimoja, kubet nayo imekuwa ni tatizo na ni uraibu kama mwingineo mfano, punyeto, drugs, ulevi wa pombe, kutazama ngono, na vinginevyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…