Dawa ya signal ni dish kubwa na orginal mi hapa natumia diplosat 8ft sikuwahi kuona bad signal kwa sport 24hdmimi natumia dstv na FTA lakini nimeona FTA kuna unafuu sana shida signal zake ila hapa napata info za android box tv hii nadhani ni suluhisho zaidi
unawekeza ili upate faida sio mgawane faida ndio yaliyopo kwenye dstv
kweli mkuu? vipi na risiva unayotumia mimi pia dish ft 8 na ninatumia alphabox mwezi december mwaka jana imenisumbua sanaDawa ya signal ni dish kubwa na orginal mi hapa natumia diplosat 8ft sikuwahi kuona bad signal kwa sport 24hd
duuh hizo cost yake bei gani mkuuMkuu sio ucku tu inategemea na aina zipo ambazo hata jua kali unaona fresh
mkuu mimi nimezidi kuulizia nayo ina shida ina hitaji internet iwe ya kasi kuna mdau nae kaelezea hapa chini nadhani mimi nimeshauriana na fundi alienitengenezea hii FTAbasi ukishafanikiwa hilo zoezi na ukawa na uhakika nalo utanijulisha kaka na mimi nijiunge huko kwako
IPO unayoweza kutumia hizi Tv za kawaida isiyo flat?Hata smart UHD iko poa
mkuu ko kwa hapo installation nzima inaweza cost kiasi ganiMobdro ktk tv box huwa inahitaji net yenye speed kubwa km 1mb/s so ikipungua tu kinazingua na kuna wakati channels flani zinakuwa offline kwa uhakika zipo iptv premium acc kwa ajiri ya hizi box ambazo hata net yako iko km 200kb/s inapigakazi fresh km hii anewish iptv premium acc ya mwaka ni $40 unapata channels 1000+ bein sports zote ndani kwa mobdro sana sana utakuta bein sport 1-6 bac
Natumia qsat28 alphabox x4 huwa inamchezo wa kupunguza signalkweli mkuu? vipi na risiva unayotumia mimi pia dish ft 8 na ninatumia alphabox mwezi december mwaka jana imenisumbua sana
ngoja nikaisome yangu model ganiNatumia qsat28 alphabox x4 huwa inamchezo wa kupunguza signal
Kweli ni TAPELI nilimpa pesa akanifanyia uhuni siwashauri kabisa.....Huyo jamaa anayeweka Chanel za mpira,alileta Uzi hapa,wachangiaji walimshukia kwamba Ni taperi na haiwekani..akashindwa kutoa maelezo akakimbia Uzi wake.
Kweli kabisa mimi ni shahidi/kanipiga ni tapeli mkubwa....Jamaa huyo ni tapeli..ukishampa hela anadai kuwa amefiwa na mama yake...so anashughulikia msiba wa mama yake..ni tapeli sugu..msijaribu kumpa hela..kawatapeli wengi..kuna rafiki yangu alimpa 40 elfu kwa huduma..hadi leo anasema yupo msibani ..shortcut always is expensive
Hapo ni tv box lako tu pamoja na premium acc ya mwaka ni $40 lkn box km uwezo upo chukua yenye 3GB RAM ambayo bei yake ni km $70 hii inauwezo mkubwa wa kustream hata km net ni ya speed ndogomkuu ko kwa hapo installation nzima inaweza cost kiasi gani
Asante sana mkuu nimegundua kitu kumbe wengi wanaolalamika internet low speed na ku stack hawana premium accHapo ni tv box lako tu pamoja na premium acc ya mwaka ni $40 lkn box km uwezo upo chukua yenye 3GB RAM ambayo bei yake ni km $70 hii inauwezo mkubwa wa kustream hata km net ni ya speed ndogo
hii hata iwe kijijini internet ita access tu mpaka in kb? thanks sana mkuuHapo nakula beinsport 11 hd speed ya net yangu ni like 400kb/s hakuna migango wala
Ndio mi hapa nipo wilayani ila kuna voda H+hii hata iwe kijijini internet ita access tu mpaka in kb? thanks sana mkuu
ila kama hutajali ungetuma na muonekano wake hilo box na hiyo premium acc
na hapa premium acc ni kifaa au ni account?
Premium acc ni codes tu ukishalipia online unatumiwa unaconfigure tu ktk box lako,box nnalotumia nakutumia link hii acc unaweza kui login pia ktk smart phone pia ktk pc na baadhi ya decoda km stronghii hata iwe kijijini internet ita access tu mpaka in kb? thanks sana mkuu
ila kama hutajali ungetuma na muonekano wake hilo box na hiyo premium acc
na hapa premium acc ni kifaa au ni account?
Kwa wenye uhitaji wa hii TV BOX - H96 ProPremium acc ni codes tu ukishalipia online unatumiwa unaconfigure tu ktk box lako,box nnalotumia nakutumia link hii acc unaweza kui login pia ktk smart phone pia ktk pc na baadhi ya decoda km strong
3GB 32GB H96 Pro Amlogic S912 Octa-core Android 6.0 TV BOX H.265 4K 1000M 2.4/5.8G WiFi BT4.0 TV Smart Media Player VS CSA93
3GB 32GB H96 Pro+ Amlogic S912 Octa core Android 6.0 TV BOX H.265 4K 1000M 2.4/5.8G WiFi BT4.0 TV Smart Media Player VS CSA93-in Set-top Boxes from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
(from AliExpress Android)
Mimi nafaham chaneli ambazo unaweza kutazama kwenye sim live. Kama hujui nifuate inbox nikuelekeze