Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

mimi natumia dstv na FTA lakini nimeona FTA kuna unafuu sana shida signal zake ila hapa napata info za android box tv hii nadhani ni suluhisho zaidi
unawekeza ili upate faida sio mgawane faida ndio yaliyopo kwenye dstv
Dawa ya signal ni dish kubwa na orginal mi hapa natumia diplosat 8ft sikuwahi kuona bad signal kwa sport 24hd
 
Dawa ya signal ni dish kubwa na orginal mi hapa natumia diplosat 8ft sikuwahi kuona bad signal kwa sport 24hd
kweli mkuu? vipi na risiva unayotumia mimi pia dish ft 8 na ninatumia alphabox mwezi december mwaka jana imenisumbua sana
 
basi ukishafanikiwa hilo zoezi na ukawa na uhakika nalo utanijulisha kaka na mimi nijiunge huko kwako
mkuu mimi nimezidi kuulizia nayo ina shida ina hitaji internet iwe ya kasi kuna mdau nae kaelezea hapa chini nadhani mimi nimeshauriana na fundi alienitengenezea hii FTA
 
Mobdro ktk tv box huwa inahitaji net yenye speed kubwa km 1mb/s so ikipungua tu kinazingua na kuna wakati channels flani zinakuwa offline kwa uhakika zipo iptv premium acc kwa ajiri ya hizi box ambazo hata net yako iko km 200kb/s inapigakazi fresh km hii anewish iptv premium acc ya mwaka ni $40 unapata channels 1000+ bein sports zote ndani kwa mobdro sana sana utakuta bein sport 1-6 bac
mkuu ko kwa hapo installation nzima inaweza cost kiasi gani
 
Jamaa huyo ni tapeli..ukishampa hela anadai kuwa amefiwa na mama yake...so anashughulikia msiba wa mama yake..ni tapeli sugu..msijaribu kumpa hela..kawatapeli wengi..kuna rafiki yangu alimpa 40 elfu kwa huduma..hadi leo anasema yupo msibani ..shortcut always is expensive
Kweli kabisa mimi ni shahidi/kanipiga ni tapeli mkubwa....
 
Hapo nakula beinsport 11 hd speed ya net yangu ni like 400kb/s hakuna migango wala
b6936f0cb70ea26c4ee0b6d16963be5d.jpg
 
Hapo ni tv box lako tu pamoja na premium acc ya mwaka ni $40 lkn box km uwezo upo chukua yenye 3GB RAM ambayo bei yake ni km $70 hii inauwezo mkubwa wa kustream hata km net ni ya speed ndogo
Asante sana mkuu nimegundua kitu kumbe wengi wanaolalamika internet low speed na ku stack hawana premium acc
wao wana android box tu
 
hii hata iwe kijijini internet ita access tu mpaka in kb? thanks sana mkuu

ila kama hutajali ungetuma na muonekano wake hilo box na hiyo premium acc

na hapa premium acc ni kifaa au ni account?
Ndio mi hapa nipo wilayani ila kuna voda H+
 
hii hata iwe kijijini internet ita access tu mpaka in kb? thanks sana mkuu

ila kama hutajali ungetuma na muonekano wake hilo box na hiyo premium acc

na hapa premium acc ni kifaa au ni account?
Premium acc ni codes tu ukishalipia online unatumiwa unaconfigure tu ktk box lako,box nnalotumia nakutumia link hii acc unaweza kui login pia ktk smart phone pia ktk pc na baadhi ya decoda km strong

3GB 32GB H96 Pro Amlogic S912 Octa-core Android 6.0 TV BOX H.265 4K 1000M 2.4/5.8G WiFi BT4.0 TV Smart Media Player VS CSA93
3GB 32GB H96 Pro+ Amlogic S912 Octa core Android 6.0 TV BOX H.265 4K 1000M 2.4/5.8G WiFi BT4.0 TV Smart Media Player VS CSA93-in Set-top Boxes from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
(from AliExpress Android)
 
Kwa wenye uhitaji wa hii TV BOX - H96 Pro

Waweza kuweka order yako kwa kufuata maelekezo kwenye HII thread: www.v.ht/buy4me

upload_2017-1-20_12-2-5.png

upload_2017-1-20_12-3-2.png
 
M nahtaji mwny kingamuzi cha AZam Tv aliechoka kktumia m npo dar alienacho ani pm
 
Mimi nafaham chaneli ambazo unaweza kutazama kwenye sim live. Kama hujui nifuate inbox nikuelekeze
 
Mimi nafaham chaneli ambazo unaweza kutazama kwenye sim live. Kama hujui nifuate inbox nikuelekeze

JF huwa tunakawaida ya kushirikishana kile tunachokifahamu

Mfano kwa swala zima la kuangalia TV live kupitia simu yako, kuna Hizi application.
- KODI
- MOBDRO
- Swift Stream
- Live NET ( Download MX player kwanza)
- Sport Tv live
- app-release - Hii toka terrariumtv.com
- Na kwa TV channel za nyumbani tumia hii M3U (- Download attachment) , Kwa PC utatumia VLC na kwa simu utatumia MX player au Perfect Player

Ukiwa na hizo APP katika simu na ukaunga simuyako au Tv Box - Haito tokea ukakumbuka kama kuna Tv channel zingine
- Mfano ukiwa addicted na KODI na umeiwekea addon kwa kadri ya mahitaji yako, Hakuna TV channel DUNIA utakayoshindwa kuipata
upload_2017-1-22_0-38-52.png

JIFUNZE ZAIDI KWENYE HII THREAD
Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)
 
Attachments

Back
Top Bottom