Erick B
Senior Member
- May 25, 2017
- 107
- 81
Million 4M4 ndio kitu ganii ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Million 4M4 ndio kitu ganii ???
Decoder ya Humax, ya kitambo, ni $45 - second hand. Packages waweza kujulia hapa: bein.net/en/packagesbeIN inauzwa being gaaanii kwa sasa ???
Vp decoda ya beIN naweza ipata wap? Vp malipo yake yakoje nipo TzMimi pia ni mfanya biashara wa viewing centre huku Mombasa, Kenya. Niliamua kuchukua beIN kwa sababu DSTV imepata competition kutoka kwa Kwese. Kwese ndiyo inayo onyesha EFL. Na ingawa unaweza kuangalia Kwese kwa Muda wa siku 3 for just $4, niliona ni usumbufu! Besides, natumia decoder ya beIN PVR ambayo hurekodi movies halafu natumia kuonyesha watu. Watu huja kutazama ligue 1, serie A na Bundesliga pia - kitu ambacho DSTV hawana
asante nduguAngalia mzunguko wa watu?.Je utatumoa viti vya plastic au ma bench?.then tv nzuri au hata projector na dstv.
Kumbuka thamani unayowekeza linganisha na bei utayowachaji raia wa eneo lako ukizingatia hali za kiuchumi za hapo
asanteĶwanza uwe na dstv nakushauri.
Tv nzuri.
Mazingira ya uswahilini yanalipa zaidi
Iyo link ya group mbona inazingua Mkuu au Mimi tu??
1000000 inatosha?
mkuu wewe unatumia tv za inch ngapi? na kwa nini hautumii projectorsNdio. Karibu
1. A 2 z Soccer Hall .Tupo Kibaha mkabara na kanisa la TAG
2. Vijana Stadium . Tupo Tandale kwa tumbo.
Huduma zetu ni nzuri sana. Kumbi za kisasa zenye kila kitu cha kisasa. Usalama wa uhakika muda wote. Sreen Tv ziko zaidi ta tatu na zimefungwa mahara sahihi kila mtu kuona. Huduma zote zipo: Vocha na vinywaji baridi. Hatutaki ushabiki wa kishamba, wa ulimbukeni na hatutaki vurugu!.
Karibuni wote. Njoo na marafiki zako; njoo na familia yako; njoo na mpenzi wako kumbi zote zetu ni mahara salama pa kupumzikia; kupunguzia stress na kuburudika ki soccer!
umemkosoa mwenzako juu ya kushindwa kiuandishi, hususani katika kukosea baadhi ya herufi, lakini na wewe umekosea vibaya sana, ni udhubutu au uthubutu (assertively)?Nimekereka na vitu vikubwa viwili:-
1. Kutojua tofauti ya 'R' na 'L' kumenifanya nishindwe kumalizia kusoma mpaka mwisho.
2. "Kuuza vocha hasa za Halotel maana ndio zina wateja wengi" huyu mtu sijui anakaa wapi/mkoa gani?
PONGEZI
Mtoa mada anaonekana hajapita shule kubwa lakini ukimfutilia utaona anajua kupambana sana na maisha,hata wanaotoka vyuoni na degree zao anaweza kuwaacha mbali kwa ubunifu/udhubutu.