Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Mkuu nna wadau ambao ni staff,nshafanya ilo nashukuru kwakunikumbusha lkn ua nagawa mpk pipi kali zile siku moja moja
 
Mkuu nna projekta full HD kaka waeza jua wachek kwenye TV.
Ushauri kama unatumia projekta kannue waya wa HD INAKUA POA SANA HASWA KAMA UNATUMIA PROJEKTA ZA KISASA
 
Boss ukinnua projekta OG ALAFU UKATUMIA WAYA WA HD inakua poa sana
IMG_20201020_213508_3.jpg
 
Lipo mkolani darajani,ukifika na ukauliza kwa Mkapa utaletwa mkuu,karibu sana
 
Baadh ya mechi uwe unatoa ofa pia baadae jitahid ununue tv kubwa inch 55 au 65 projector hazina Hd Ndugu na karne hii ni mwendo wa HD .

Sema mwanzo mzur sana pia hakikisha jenereta lipo Tena kubwa la uhakika .

Kama una mdogo wako hana kaz maambie aanze kukaanga karanga zinauzwa ndani ya ukumbi mixer soda na maji mtapiga sana pesa.
Na ukianzisha karanga na vinywaj usiruhusu mtu aingie ndani ya ukumbi na hiyo biashara maana atakuharibien mchongo .
Banda liko sehemu gani nije nicheki Arsenal akipokea kipondo wikiendi hii
Projector ina resolution za namna mbili, native resolution na ile resolution ya kuproject.

Kama umewahi kwenda ukumbi wa cinema ule ni mfano wa projector nzuri, quality yake ni kubwa sana mpaka unasahau wazo la kua ile ni projector.

Wewe unaona mbaya hizo projector sababu native resolution ni ndogo nyingi ni 240p mpaka 480p, ila ukipata projector yenye native resolution ya Hd ama Full HD Quality inakuwa kubwa sana.

SEma na bei pia inakuwa ndefu 1m+
Sure mkuu,
 
Back
Top Bottom