Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Maoni yenu wadau nayazingatia mpaka sasa sijona anayeniambia niache hivyo yamkini wazo la kuendelea na project yangu likapita.

Ila bado napokea maoni wakuu.
 
Take it from me mm hii biashara ya mpira niliianza mwaka 2013 eneo ambalo halina umeme nkitumia solar&generator huku mshindani wangu akitumia umeme ukweli mwanzo ulikuwa mgumu lakini sikukata tamaa kikubwa mimi mwenyewe nlikuwa na passion na mpira ndo kitu ambacho nakikubali na kukielewa nikapambana but ilivyofika 2017 nikapata mshindani mpya ambaye alikuja kunichallenge maana yy alinunua flat screen kwenye banda lake nikapambana na mm nikanunua flat 2 now nina washindani wakibiashara kama wa 5 karibu karibu lakini daily nawapiga gap coz banda langu lina ushabiki na makelele kinoma na hizo wadau ndo wanazipenda

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama utanielewa lakini chukua hii... anza biashara ila zingatia mazingira mazuri flat screen kubwa spika ya uhakika ukipata wa dada wazuri wawili itanogesha zaidi... ukitaka... TV BIG SREEN NJO KARIAKOO CLUB YA SIMBA HAPA NTAKUPA SUMU ZA KUTOSHA.
 

Attachments

  • IMG-20220719-WA0005.jpg
    IMG-20220719-WA0005.jpg
    81.4 KB · Views: 50
  • IMG-20220627-WA0002.jpg
    IMG-20220627-WA0002.jpg
    80.9 KB · Views: 45
  • IMG-20220719-WA0012.jpg
    IMG-20220719-WA0012.jpg
    64.2 KB · Views: 51
  • IMG-20220719-WA0006.jpg
    IMG-20220719-WA0006.jpg
    92.8 KB · Views: 52
Cjui kama utanielewa lakini chukua hii ...anza biashara ila zingatia mazingira mazuri flat screen kubwa spika ya uhakika ukipata wa dada wazuri wawili itanogesha zaidi ... ukitaka ...TV BIG SREEN NJO KARIAKOO CLUB YA SIMBA HAPA NTAKUPA SUMU ZA KUTOSHA
Asante kwa ushauri, hebu weka na bei za hizo Tv mkuu
 
Cjui kama utanielewa lakini chukua hii ...anza biashara ila zingatia mazingira mazuri flat screen kubwa spika ya uhakika ukipata wa dada wazuri wawili itanogesha zaidi ... ukitaka ...TV BIG SREEN NJO KARIAKOO CLUB YA SIMBA HAPA NTAKUPA SUMU ZA

Asante kwa ushauri, hebu weka na bei za hizo Tv mkuu
Tv 43 ...bei 850,000
Tv 50...bei 1,250,000
Tv 55...bei 1350000
Bei za TCL👆👆

STAR X 43...bei 650,000
Star X 50... 950,000
Karibu 👆
 
Mimi ninayo hii hapa "Optima" hebu nipe sifa za hio zinazoishinda hii.

Mpinzani wangu anategemea kuweka "50" inchi screen.

Naendelea kupokea maoni.
IMG_20220725_122355_593.jpg
 
Back
Top Bottom