Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
NAKAZIABiashara hii imelea na kusomesha wengi tu,kinachotakiwa ni kupendekeza mazingira yatakaofanya biashara hii isilete matokeo hasi kwa watoto, kuwatengea pink area within town na kutoa elimu ya kujikinga na STIs, na wapewe pia panic buttons zilizounganishwa na vituo vya police kwa ulinzi wao, huwezi to kuifuta biashara hii hapa duniani kwa nguvu, biashara hii tumeikuta,tutaiacha inaendelea,mtoa hoja relax mkuu na njoo na the way forward kuiboresha kisheria
Hakuna cha haki zaidi ya kuharibi jamiiNAKAZIA
Hawa viumbe muhimu sana kwenye jamii, malaya wapewe haki zao
😂😂😂Kirima boro duhKirima ni kata iliyopo Moshi Vijijini. Kuna kitongoji/kijiji kinaitwa Kirima Boro
Eti "Jana nilibahatika kupita..."Habari wakuu!
Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, Yani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, In short yani ni uchafu mtupu.
Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili [emoji24]
USHSURI: Hawa Sex workers wapewe TIN NUMBERS na maeneo maalumu ya biashara zao. Na walipie kodi.
Tuwai misa shemasuAmen naleo ukumbuke kuna kumbukumu ya bikira pia
Mkuu huduma ya malaya ni muhimu sana nakwambia.Hakuna cha haki zaidi ya kuharibi jamii
Swala la sex huenda sambamba na hisia kali chief sasa kwa hao watu hizo hisia kali unazipata wapi tunaitaiji ktk ushirikishi wa tendo zaidMkuu huduma ya malaya ni muhimu sana nakwambia. Malaya wanapaswa wapewe maeneo yao ya kufanyia biashara jamii inawahitaji sana
Mt Clara bikira Leo siku yake special atuombee🙏Tuwai misa shemasu
Malaya sio mkeo au demu wako ila upwiru ukikushika ni mahali pengine pa kwenda kuutoa kama sio muumini wa kukwea minaziSwala la sex huenda sambamba na hisia kali chief sasa kwa hao watu hizo hisia kali unazipata wapi tunaitaiji ktk ushirikishi wa tendo zaid
😂😂😂😂Eti muumii ndio maswala gani asee chief kwer sio wanawake na wanaume tuna itaji zaidi sayansi ya tendo la ndoa na cycology haswaaaMalaya sio mkeo au demu wako ila upwiru ukikushika ni mahali pengine pa kwenda kuutoa kama sio muumini wa kukwea minazi
Duh chombo ilo inaonekana sio habaMitaa ya Kirima na Serengeti
Ndiyo nilikuwa namuuliza Kirima imetoka wapi Singida?😂😂😂Kirima boro duh
Ukawafukuze?Watoto wa kinyaturu walivyo weupe,nikipita singida itabidi nikawafukuze[emoji28]
Amina mkuuMt Clara bikira Leo siku yake special atuombee🙏
Sasa ukimpatin number si ndo atakuwa anajiachia kabisa mana anajua atakuw asumbuliwiHabari wakuu!
Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, Yani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, In short yani ni uchafu mtupu.
Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili [emoji24]
USHSURI: Hawa Sex workers wapewe TIN NUMBERS na maeneo maalumu ya biashara zao. Na walipie kodi.
Kirima ni bar ya mchagga wa kibosho kirima.Ndiyo nilikuwa namuuliza Kirima imetoka wapi Singida?