Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake


Ipi nzr kwenye ps kati ya fat n slim
 
Mkuu shukran sana barikiwa
 
Nimeanza hii biashara ni wiki sasa, mwitikio bado sio mzuri nina Ps 4 moja tu na kahisense kangu inch 32.. siku ya kwanza nilipata 10,500 na siku ya pili nkapata 20,000... baada ya hapo ni 8,000 mara 10,000 mara 7,000 ila maisha yanaenda.

Nimenunua PS 4 na TV. Pia imebidi kujenga chumba kimoja hapa kwangu(Chumba sio fremu) so mteja anakuja kama anaingia chumbani tu kawaida.

Siku za kawaida nafungua saa kumi jioni na kufunga saa nne usiku maana na mimi nafanya kazi so mpaka nirudi job ndo nifungue. Siku za wikiendi saa moja asubuhi tu ni hodi hodi inabidi uamke.. hapo ndo pesa ipo unapata mpaka hizo 20.

Sijapata changamoto yoyote bado, ila nimejitahidi kuwamonitor watoto yaani mwenye pesa ndo anaingia ndani kama huna sepa ili wasijazane sana mpaka wazazi wao wakawa wanawakosa nyumbani. Nitarudi baada ya mwezi kuwapa mrejesho wanaotaka kuanza hii biasha

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Nafanyaa hii pia inalipaa kwa sasa hivi likizo ya pasaka 30 ni ya kugusa tu siku za kawaida unaeza pata 10 15 sometimes ata 5000 tu ila ndio business
 
Laki mbili Na Tisini
Namba Yangu 0672883431
 

Attachments

  • 1650196637941.jpg
    22 KB · Views: 76
Nahitaji kufunguaa hii biashara. Kwa mtu aliyefanya au aliye na uzoefu na hii biashara jinsi ya uendeshaji wake na faida yakee tafadhaliii naomba ushaurii wa hili.
Nawasilisha. [emoji871]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…