Switch inazingua kivip mkuu??unafahamu kitu wanaita YLOD?Nauza PS 3 Sony.
Niliagiza nje nikatumia kwa matumizi binafsi nyumbani ,nilipokuwa busy nikaweka store ,leo nilikuwa natest inawaka ila but ya switch ndo inazingua . Kwa ambaye yupo tayari kununua au ni fundi anicheki pm ,nitauza kwa bei yoyote maana haina kazi tena kwangu sina mda wa kutumia
mkuu YLOD sijui ,ila mara ya mwisho ilianza tabia kama kustuck mara unabonyeza kuzima haizimiki,but kuwaka inawaka,na ni haijawahi kufunguliwa au kupelekwa kwa fundiSwitch inazingua kivip mkuu??unafahamu kitu wanaita YLOD?
Nicheki 0620101108Kama inaweza kupona au kufanya kazi kwa namna yoyote nipeni ujuzi, nitashukuru sana.
Slim or large?Nauza PS 3 Sony.
Niliagiza nje nikatumia kwa matumizi binafsi nyumbani ,nilipokuwa busy nikaweka store ,leo nilikuwa natest inawaka ila but ya switch ndo inazingua . Kwa ambaye yupo tayari kununua au ni fundi anicheki pm ,nitauza kwa bei yoyote maana haina kazi tena kwangu sina mda wa kutumia
And location yako plz.Slim or large?
Mkuu hiyo hapo kwenye picha ,mi nipo Segerea stendi,hii nimeitumia mda mfupi ilipoanza kama kustuck nadhani cd niliyokuwa natumia ilikuwa na tatizo ,hilo tatizo ikasababisha mara ikubali CD au kukataa na pia button ya switch on kama inagoma kufanya kazi,nikaacha ndani sikuhangaika maana nilikuwa busy sana ,sasa majuzi nikakumbuka nikaona ya nini nitengeneze si niuze tu wakati sahivi sina mda wa kutumia.View attachment 2237268Slim or large?
Unataka kumfanya nini mtoto?Njoo inbox
Ongeza iwe 2 mil kwanza,hyo ndogo sana
Kuna mwanang anafany hii
Hii biashara napitaga sehemu kila muda watu wapo wanacheza, ni kama sigara