Tafta mtaa wenye population kubwa na ambao hakujawahi kuwekwa huduma ya playstationHabari zenu wana JF,
Naomba kufahamishwa hapa kwa mwenye ufahamu kuhusu hii biashara ya Play Station Game kuanzia mtaji, vifaa, na maeneo rafiki kwa biashara hii.
Basi tumia PlayStation 3 na 4Vijana kwa watoto
Hata k/koo unazipata,.wastani kwa cku ckumuuliza.Hajakwambia wastani wa mapato kwa siku, na hizo PS zinapatikana wapi?
Hata mm cna ufahamu juu ya hivi vitu mkuu,pole ila naona kuna wajuzi humu watakujuza bila shaka.PLAYSTATION ni kitu gani mkuu?
Kwani PlayStation ndo nn maana hata sielewi mi nikajua kama zile za madesktop wanacheza Zuma na FIFA sssa mnaniambia kuna PlayStation 1 ,2 cjui 3 hata sielewiMkuu. Hope sijachelewa kukujibu hapa. Mimi binafsi nafanya hii biashara na ki ukweli inalipa kama uko makini na unajua kuhusiana na games za watoto. Binafsi nilianza na mtaji wa TZS 2 milion. Mimi ninachezesha Play Station 3 na Xbox One. NIna Play Station 3 tatu na X box 1. MAuzo kwa siku ni kati ya TZS 25,000 mpaka 35,000 (weekend ndio kunakuwa na hela zaidi). Play Stations zangu nimezi 'chip' kule kariakoo..zina games ndani, games latest na nilipata hii service kariakoo. Biashara hii inategemea na maeneo ila all in all, inalipa sana ukichukulia watoto wanapenda video games na wengi wao hawawezi ku afford kununua. Changamoto pia zipo ila ndio part ya biashara. Ukitaka maelezo zaidi nitakupatia..all the best mkuu, karibu kwenye ujasiliamali
Games za virtual unaweza kuchezaHata mm cna ufahamu juu ya hivi vitu mkuu,pole ila naona kuna wajuzi humu watakujuza bila shaka.
Hahahaha kwel inahitaj uwe na roho mbaya coz kunamadogo weng utawasababishia misala kwa familia zaoBiashara hiyo haina tofauti na ya Bangi Defender Kila siku nje kwani wazazi wa watoto hushindwa kuvumilia
Ni video games, tofauit kidogo na computer. Usitake niambia hujawahi come across hizi games at all. Itabidi utafute mkuu, very user friendly kwa gamersKwani PlayStation ndo nn maana hata sielewi mi nikajua kama zile za madesktop wanacheza Zuma na FIFA sssa mnaniambia kuna PlayStation 1 ,2 cjui 3 hata sielewi
Dah, Pc ni old school siku hizi nimeona ps ndo zinabamba, Anywat mtaji wako utakuwaThanks broo nilikuwa na hio project but nina swali vip niki employ desktop na nisitumie ps
Sent using Jamii Forums mobile app
desktop 3 za games 600,000?Dah, Pc ni old school siku hizi nimeona ps ndo zinabamba, Anywat mtaji wako utakuwa
desktop tatu 600,000
stabilizer + extensions 100,000
meza na viti 200,000
leseni 100,000
Chumba miez minne 400,000
JUMLA YA MTAJI 1,400,000
however hapo utachezesha kwa buku na sio buku 2
desktop 3 za games 600,000?