Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

SME nikampuni ya uhakika kutoka Marekani inayolipa kwa masaa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, miezi hadi mwakaa

Naweza kujiungaje??

Jisajili kwa line yako kisha downlod App ya kampuni utakutana na offa yako ya Tsh 10,000/= iwekeze ukitaka uanze kuvuna faida 🤑🤑

Malipo hufanyikaje??

Malipo yote hufanyika Kwa njia mbili kama ifuatavyo👇

M PESA na mfumo wa USDT Kwa wale wenye Wallet

Vifurushi vyake vikoje??

Baadhi ya vifurushi vyake ni hivii hapa 👇

Ukiweka Tshs 30,000/= utapokea sh. 1440 kila siku kwa siku 7 kwa muda wa wiki 5

Ukiweka Tshs 80,000/= utapokea she 4320/= kila siku kwa mda wa siku 15 kwa muda wa wiki 10

Ukiweka Tshs 200,000/= unapokea shs 12,000/= kila sikuu kwa siku 30 kwa miezi mitano

Ukiweka Tshs 500,000/= Utapokea shs 34,000/= kila sikuu kwasiku 60 kwa miezi 10

Utawekeza tena na tenaa

Withdrawal

Kiwango cha chini cha utoaji ni Tsh 5000/= kwa njia ya m-pesa au USDT

withdrawal fee ni 15%

Jisajiri link


Ingia kwa group 👇
 
BADO NAHITAJI PS 3 SLIM CHIPPED ONE, KWA MWENYE NAYO TAFADHALI.
 
KWA KIFUPI NATAKA FULL PACKAGES YANI CONSOLE MBILI, SCREEN MBILI NATAKA NIKAFUNGUE OFISI PLZ.
 
BAJETI YANGU 1M IPO HAPA KWA AJILI YA HIZO PS3 SLIM MBILI CHIPPED ZENYE GAMES AMBAZO HAZILI PADS, NA SCREEN ZAKE MBILI NCH32 MTUMBA NATAKA.

NARUDIA TENA PS3 SLIM CHIPPED WITH GAMES IN SIDE.
 
Kijijini kwetu hakuna ps,
dogo ambae alikua nayo ps2 alikua analaza 10k per day, sometime mpaka 15. Ila ilikufa na hajafungua tena.

Mimi nimetaget wanachuo sanasana maana kitaa kuna chuo cha serekali na wanapenda sana gaming.
 
ps4

controller mbili

fifa 22 inside

670k(pungufu kidogo ipo)

0752527054 or 0629274880

IMG-20220501-WA0068.jpg
 
Kama inaweza kupona au kufanya kazi kwa namna yoyote nipeni ujuzi, nitashukuru sana.
 
Hii biashara ni nzuri na inawezekana kabisa kwa sababu ina changamoto chache ambazo uwezekano wa kuzitatua ni mkubwa (sio complicated). Pia ni rahisi sana kuianzisha na unaweza ukaanza na TV moja kisha ukaendelea kukua taratibu.

Kitu kikubwa cha msingi biashara hii ifunguliwe/ifanyike katika mazingira yenye mchanganyiko wa vijana wengi wa chuo au schoolboys coz hawa ndio wateja wakubwa hizi mambo.
 
Naomba kuelekezwa namna wanasetigi muda hua inafanyikaje ili kumpa muda mteja?
inategemeana na game lipi sasa, kama ni la mpira mfano fifa au pes kwenye setting ya games kuna sehem ya ku set muda.me hua fifa naweka dakika sita alafu pes naweka dakika 11.

Magemu mengine kuset muda ni kwenye remote ya tv yako kuna sehemu ya kuset, dakika 10 huwa ni jero me ndo hua nafanya.
 
Ok, shukran mkuu
Nimefuatilia sana izi wa wadau walivoanza kuchangia tangu mwaka jana ni darasa tosha, bado kuingia kazini hilo tu la muda ndio nilibakisha nadhan.
inategemeana na game lipi sasa, kama ni la mpira mfano fifa au pes kwenye setting ya games kuna sehem ya ku set muda.me hua fifa naweka dakika sita alafu pes naweka dakika 11.

Magemu mengine kuset muda ni kwenye remote ya tv yako kuna sehemu ya kuset, dakika 10 huwa ni jero me ndo hua nafanya.
Shsh
 
Hii Biashara Muda wa kufungua siku za kawaida Ni Jioni?
 
Nauza PS 3 Sony.

Niliagiza nje nikatumia kwa matumizi binafsi nyumbani ,nilipokuwa busy nikaweka store ,leo nilikuwa natest inawaka ila but ya switch ndo inazingua . Kwa ambaye yupo tayari kununua au ni fundi anicheki pm ,nitauza kwa bei yoyote maana haina kazi tena kwangu sina mda wa kutumia
 
Back
Top Bottom