Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.
mcomoro anakufuata hata kama uko shinyanga na wanabei nzuri anakuja kununulia hapohapo unapofugia kusafirisha juu yake.
Nazungumzia mtu anaetaka kupeleka Mwenyewe mzigo kule Lazima azingatie 7bu ninaerafiki yangu yy alikuwa anapeleka Viazi mpaka ss kaumia,,,!!
Hawa jamaa usikubali biashara ya mali kauli, ni cash cash huku huku Bongo. Kiazi na kitunguu kinalipa sana huko Comoro, tatizo jamaa ni matapeli kiaina.
Bado nafuatilia kwa huyu mama, sijui yuko Masaini ndani kule, hewani hapatikani.
we hao ng'ombe unawanenepesha kwa mashudu,ama wewe hununua na kuuza,wacomoro wanataka ng'ombe mwenye ujazo,je pia huwa unauwezo wa kupata ng'ombe wangapi,30,50?.mambo hayo ya malikauli ni sumu kwa biashara na mambo ya kiutapeli ni ujinga wa mtapeliwa!. biashara ni nipe nikupe basi ukiona mtu anamaneno meng basi huyo si mfanyabiashara au mtafit wa biashara!!. alaf mambo ya madalal yanin?, wakat madalal weng ni wezi?, kaz unaweza kufanya usimpe dalali bhaanah!. si kila mtu anatapeliwa.
kuwapata hao wacomoro mpaka uwe na connection na wafanyabiashara wanaouza ng'ombe pale pugu.Ni kweli wangeweka wazi ni wapi hao wacomoro wanapatikana,
Ni kweli wangeweka wazi ni wapi hao wacomoro wanapatikana,
hawafugi wanachinja na wengine wanasafirisha nyama kwenda mashariki ya kati.Kwan soko lao lipoje huko comoro?, wanaenda kufuga au kuchinja?, kwani kule comoro kuna uhaba wa hizo mifugo?.
kuwapata hao wacomoro mpaka uwe na connection na wafanyabiashara wanaouza ng'ombe pale pugu.
Kuna kipindi nilikua nafanya nao kazi,nafahamiana nao wengi ngoja nikipata mda nntawacheki wanipe update.
Kuna mahali taarifa za Jawilat kuumwa, ni wewe? Kama ni wewe pole, vp unaendeleaje?
una wastani wa bei gani,nakuuliza ili nikiwambia jamaa wakiwa interested ntakuconect.Vip!, so wanunuz walioweng pale Pugu wanasafrisha kwenda Comoro?. ng'ombe 30,50 walioshba inabid uwe na Mzigo wa ukweli wa pesa!, mm binafsi sinenepesh ila ni kununua na kwa wafgaji na kuuza!!, kuhusu ng'ombe nzito ni uwezo wako2 wa kipesa!!!.
pugu ni soko,naongelea wafugaji walioko mikoani hasa kanda ya ziwa,ambao huleta ng'ombe hapo pugu,hawa ndo wanakua wanafahamiana na wacomoro ambao wakati mwingine badala ya kununulia ng'ombe pugu huwa wanazifuata hadi huko mikoani mfano mwanza,shy etc.Vip!, so wanunuz walioweng pale Pugu wanasafrisha kwenda Comoro?. ng'ombe 30,50 walioshba inabid uwe na Mzigo wa ukweli wa pesa!, mm binafsi sinenepesh ila ni kununua na kwa wafgaji na kuuza!!, kuhusu ng'ombe nzito ni uwezo wako2 wa kipesa!!!.
una wastani wa bei gani,nakuuliza ili nikiwambia jamaa wakiwa interested ntakuconect.
una wastani wa bei gani,nakuuliza ili nikiwambia jamaa wakiwa interested ntakuconect.
Tusaidie mkuu,walau tunaweza safirisha vibeberu vyetu huko badala ya kulaliwa bei na wahuni wa Vingunguti.
mi nashangaa unasema huna soko la ng'ombe,soko la ng'ombe liko pugu na biashara hailali ukifikisha ,malipo ni cash,ushawahi kwenda pugu kufanya research.naona hutaki kunipa wastani wa bei unayouzia,nami inaniwia vigumu kukutafutia jamaa.dah!, hii ni changamoto 1wapo coz unapmfuata tu m2 alaf unamwambia2 nnabiashara nataka pakuuzia, kwanza atafkiria mengi kuhusu ww either zimekudodea or ni za wiz!, xo atatumia mwanya huo kukulalia badala ya kukufanikisha!!!. tuangalie xana hili.
mbuzi sijapata kuwa na uzoefu wake.Vipi kuhusu mbuzi?
mi nashangaa unasema huna soko la ng'ombe,soko la ng'ombe liko pugu na biashara hailali ukifikisha ,malipo ni cash,ushawahi kwenda pugu kufanya research.naona hutaki kunipa wastani wa bei unayouzia,nami inaniwia vigumu kukutafutia jamaa.
Ila nitoe mfano tu kuwa waweza nunua ng'ombe kwa laki 4 ama 5,hapo pugu ukamuuza kwa laki7 hadi nane.
Wanaonenepesha hununua ng'ombe waliokonda hata kwa laki 3 ama 4,wananenepesha kwa gharama ya wastani wa tsh laki moja kwa ng'ombe kisha wanauza pugu kwa hadi laki 8