Habari ndugu, marafiki na jamaa!!, naomben ushauri juu ya biashara hii ya ng'ombe, mbuzi au kondoo kuhusu soko na gharama za usafiri kutoka Ruvu(pwani) hadi sokoni!!, lakin si mbaya kama kuna mfanyabiashara hiyo akashirkiana nami!!!. huwa mm nanunua kwa wafugaji na kuuza kwenye masoko ya huku porini ambayo hayana bei!!.
sijawahi fika pugu m2wang ila ni kwamba wastan wa ng'ombe wa kawaida ni lak3.5 had 5!, na kuhusu usafir na makato mengine hadi huko inatakiwa ng'ombe wakiwa wachache wasipungue wangapi?, ili faida iwepo ukishatoa gharama za njiani hadi kufkisha sokoni!.nlisema soko hukuhuku coz mm binafs nimedeep zaid kwenye minada ya kifugaji na wafugaji wenyew coz mm mwenywe ni mfugaj!!.
Kwan soko lao lipoje huko comoro?, wanaenda kufuga au kuchinja?, kwani kule comoro kuna uhaba wa hizo mifugo?.
Napajua pugu vizuri mimi nimetoa ng'ombe dom mara kadhaa nimeleta pugu...ukweli ni kwamba hakuna bei ya uhakika...ukikuta iku ngombe wachache unauza bei nzuri na iku pakiwa na mafuriko kuuza hata kwa bei uliyonunulia ni bahati sana.
sijawahi fika pugu m2wang ila ni kwamba wastan wa ng'ombe wa kawaida ni lak3.5 had 5!, na kuhusu usafir na makato mengine hadi huko inatakiwa ng'ombe wakiwa wachache wasipungue wangapi?, ili faida iwepo ukishatoa gharama za njiani hadi kufkisha sokoni!.nlisema soko hukuhuku coz mm binafs nimedeep zaid kwenye minada ya kifugaji na wafugaji wenyew coz mm mwenywe ni mfugaj!!.
popote pale supply inapozidi demand,ujue bei inashuka,unatakia ucheze na information.kama ukiona mzigo mwingi sokoni unaholdup kwanza,kwabiashara zote hiyo ndo rule of the game.Usimdanganye mwezio wewe soko linabadilika kutokana na uwingi wa mifugo hapa mnadani. Unaweza kuta bei uliyonunulia kijijini ni mkubwa kuliko ya Pugu. Mimi nafanya hiyo bznesss na najua huyu mifugo anatoa Vigwaza. Nitafute tufanye biashara ya Ngombe.
we unadhani kwanini wafugaji wana nguvu sana?huoni wakulima wanavyonyanyaswa na wafugaji?.jamaa wana pesa mbaya na wanatoa rushwa kama hawana akili nzuri...tena huombi rushwa wao ndo wanakulazimisha uchukue.Kuna mwanajanvi mmoja anasema unanunua ng'ombe 500,000 unauza pugu laki 7.,hahahah kila mtu angefanya hii biashara.
we unadhani kwanini wafugaji wana nguvu sana?huoni wakulima wanavyonyanyaswa na wafugaji?.jamaa wana pesa mbaya na wanatoa rushwa kama hawana akili nzuri...tena huombi rushwa wao ndo wanakulazimisha uchukue.
Mi pesa zao hadi nilizikinai.
Biashara iko na pesa hiyo usikatishe watu tamaa.
Mimi ninayo bucha iko kitumbini dsm inafanya kazi tangu 1978 natafuta mtu anaye weza kuniletea nyama ya n'gombe isiyo kua na mafuta sana nyama nzuri na bei iwe kwa kilo 4200 maanake anaye niletea kafariki na mtoto wake kapandesha bei sana
mimi nauza kuku aina zote ya samaki mbuzi soseji kwahiyo atakaye taka kufanya kazi daima na mie just pm me

theni niufanyie niniTafuta uwanja