Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Tatizo ni kuwabaini na mifumo yankuwalipisha Kodi.

Si rahisi. Maana hata mkeo unakuta anafanya BIASHARA na ww (LEGIT) wakat huo anafanya UHARAMIA wa kuuza bidhaa haramu, huko nje.
Ni kweli ila ikiwekwa mifumo mizuri Serikali inaweza kupata mapato Serikali ina mkono mrefu.
 
Nishawah kukutana na aina hiyo ya Mfanyabiashara. Hasa wale wa Telegram.
Hawana eneo maalumu ukimkuta ameshiba Pesa wanakua na dharau usiombe Ila akiwa amechoka unajisevia tu tena anakuita yeye na location live unapewa kila mda anakuuliza mboni haufiki jua hapo kachalala hana hela, akiwa na hela haongei sana anajibu mara moja kapotea hana story nyingi uende usiende utajua wewe na upwiru wako
 
Ni kweli kabisa, this is the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.
Nje ya mada naomba nikuulize hivi nini sababu ya kutokuwepo uraia pacha?.

1 Bibi yangu alikuwa na passport ya British alipo zaliwa( kabla ya kuwa Tanzania)

2 Jee ni ulikuwa uoga wa Nyerere kwa Kambona na Abdul-rahman Babu?.

3 Uoga wa ccm kutokutaka challenge na wasomi wenye raia pacha watakao wafunua macho wananchi walio lala?.

4 Kuilinda Tanzania kutoka kwa raia wageni kutokumiliki rasilimali ya nchi?.(mbuga,madini na wawekezaji wa hisa wengi ni wageni kwa sasa)

5 Mtanzania aki nyanganywa uraia wa kupewa na kurudishwa kwao Tanzania jee atapokelewa kama nani?.
 
Mwamba kwa ufafanuzi huu inaonesha kabisa hata mamazetu majumbani nadada zetu au wake zetu niwafanyabishara wangono,huenda hata mkeo wako uliyemlipia mahari akawa muuza nyapu tu.
 
MwanaFA katika nyimbo yeye na LINNAH inayoitwa Yalaiti.

Anasema "usinakate usiniangushe mimi nina BIASHARA na wewe"

Note:
Maudhui ya NYIMBO ni mtu na MKE wake.
 
Lakini hebu tuchukue sampuli ya aina ya wadada wanaojiuza, hivi unajua dada mmoja anaweza kuwahudumia wanaume kumi kwa usiku mmoja? Sasa hapo huoni kwa mfano huu wanunuaji ni wengi?
Bidhaa jinsi inavyokuwa CHEAP ndo wanunuaji wanakuwa wengi na inavutia hata ambae hana mpango wa kununua atanunua. Hata yule aliyenunua jana leo anaweza KURUDI kufyededa Ofa kabambe.
 
Maswali magumu kwangu.
P
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…