Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Tufungue mamcho kwa mapana juu ya hili mkuu.

Umeandika kwa kifupi sana, huenda ukamsadia sana mleta uzi, lakini hata sisi pia...
Kwa ujumla, Zabibu ni fursa kubwa sana kwa watanzania, na kwa bahati nzuri inapatikana kwa watani wangu wagogo ni wavivu sana. Ni kitu kinachoweza kuwakomboa vijana wengi hasa ukizingatia soko la zabibu halina ushindani. Katika ukanda huu zabibu ipo Tanzania.
 
Hiyo pesa inatosha kwa kuanzia,kubwa ni kwenda kufanya research ya hiyo biashara,uzuri Uganda maisha ni kawaida kuanzia hotel mpk chakula.
 
Ni chimbo gani unalosema sijaingia hilo..? Nimezunguka k.koo nzima. Na hyo bei chupi ni zile chupi za kawaida sana hakuna mtu anayeuza chupi za cotton kwa elf 9 hakuna.
ukitaka kujua vitu vingi jifanye hujui kwanza...rudi karikoo tena kafanye research ya pichu upya
 
Hujaingia machimbo

Kariakoo kuna maduka ya jumla na rejareja unahitaji uchambuzi yakinifu siyo mdogo.

Kwa mfano chupi kuna maduka wanauza kuanzia dozeni kumi kwa 90,000
Hapo hapo kuna anayechukua kwa huyo wa jumla na anauza kwa hiyo 36000
Yaani dozen 10 zote kwaelfu 90?
 
Njoo pm mkuu mimi pia nafanya Huyo biashara japo mimi nanunua nguo za mtumba kutoka Kampala Uganda na mwezi ujao mwanzo natarajia kwenda
 
Umeongea vyema aisehh
 
Hiyo pesa ni mtaji tu wa kununulia mzigo pesa ya nauli na hotel nimetenga lak 3 pembeni, pia nataka nichukue nguo za duka sio mtumba tena na nguo za ndani pichu na sidiria.
Una asili ya ubishi, hivi hiyo laki 3 ukiongeza kwenye million 1 huwezi kuchukua mzigo sawa na ambao ungefuata Uganda au lengo lako ni kutalii, hivi unafikri ukinunua mzigo hutalipia kodi?
 
Huu uzi mxur ila napenda kujua bei bado ziko ivyo kwa sasa
 
Mm mwenyewe nimeshangaa halafu chupi za cotton og ambayo moja inauzwa 3500 kwa 4000.
nimeenda nimetoka Uganda hiv juzi tu nimenunua chupi dazani mbili sawa na pc 24 cotton nzuri na nzito kwa 24,000/=za ugsh
 
Nikitaka belo ya viatu vya mtumba uganda ni bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…