madam boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 701
- 742
Asante. Scorpio me.ilala boma kuanzia sa tisa usiku
Kumbe wnaanzaga kuuza usiku hivyo eeilala boma kuanzia sa tisa usiku
Mungu wangu. Changamoto hiyo. Ya Kutoka usikuTena uwahi sana kubla hata ya muda huo ili uwe wa kwanza balo likikatwa
Biashara haikosi changamoto Dada. Tena ukifika huko utashangaa utakutana na wakinamama kibao.Mungu wangu. Changamoto hiyo. Ya Kutoka usiku
Itabidi iwe hivyo. Mana nimeamuaBiashara haikosi changamoto Dada.
Tena ukifika huko utashangaa utakutana na wakinamama kibao.
Ipoje hii elezeaLaki mbili Anza na tin ya mpesa kwanza
Wanavyuo hawanunui Mashati zaidi ya Tsh 5,000 ( Zile za kutembeza Hostel ). Bei za wanavyuo ukitaka kuuza Mashati bila shida ni Tsh 3,000 - Tsh 5,000. Anyway mimi nataka kujua wananua wapi hizo shati za form 6?Kama form 6 unanunua jumla kwa elfu 10 tshirt 20, ambapo ni sawa na 200000. Wewe unauza nguo hyo 15 na kupata faida ya 100,000 kwenye nguo 20 unatoa na elfu 10 ya kutuma kipasel unabaki na 90 na mtaji wako bado upo palepale wa laki mbili so unakuwa na 290,000