mitaa ya Arua Park, Ben kiwanuka street, jiran na Owino market, Tax park. etc hizo sehemu zimekaribiana pia ukiambiwa 10000 ujue ni 5000 utaangalia na nguo yenyewe
Asante Mkuu. Nitajaribu kwenda huko. Je, passport ni lazima siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mitaa ya Arua Park, Ben kiwanuka street, jiran na Owino market, Tax park. etc hizo sehemu zimekaribiana pia ukiambiwa 10000 ujue ni 5000 utaangalia na nguo yenyewe
Asante Mkuu. Nitajaribu kwenda huko. Je, passport ni lazima siku hizi?
Visa yake ni ya hapohapo board yaani entry tu,au unaomba embassy infact kenya ni entry tu sifahamu uganda japo ni part of e.a.c
nashangaa kwa nini kampala nguo ni rahisi kuliko Dsm wakati uganda ni land locked country! mm sijui aisee nisaidieni
Asante kwa ushauri iMind, naufanyia kaziKama una mtaji mdogo kamwe usinunue mfuko au baro kama unavyoita. Pamoja na kwamba watakwambia ni grade 1 au ngapu bado haina garantii kuwa utapata nguo au viatu safi. Unaweza ukafungua mfuko ukapata pea moja tu nzuri nyingine zote famba. The same kwa nguo. So ili ufanikiwe kwa kuchukua ma baro lazima uanze na atleast 10 na kuendelea maana mengine utapata na mengine hutapata kitu.
So kwa mtaji wa 1m jaribu kuchagua pea moja moja au nguo moja moja kutoka kwa wale wanao nunua mabaro mengi na kuuza pea moja moja au nguo moja moja kwa bei ya jumla.
Mambo ya kodi yakoje boda?Kama una mtaji mdogo kamwe usinunue mfuko au baro kama unavyoita. Pamoja na kwamba watakwambia ni grade 1 au ngapu bado haina garantii kuwa utapata nguo au viatu safi. Unaweza ukafungua mfuko ukapata pea moja tu nzuri nyingine zote famba. The same kwa nguo. So ili ufanikiwe kwa kuchukua ma baro lazima uanze na atleast 10 na kuendelea maana mengine utapata na mengine hutapata kitu.
So kwa mtaji wa 1m jaribu kuchagua pea moja moja au nguo moja moja kutoka kwa wale wanao nunua mabaro mengi na kuuza pea moja moja au nguo moja moja kwa bei ya jumla.
habari,naombeni ushauri wenu. Nahitaji na natamani kuanza biashara ya mitumba ya nguo na viatu na nipo mkoani singinda. Je nahitaji mtaji wa sh ngapi ili nianze? Pili je baro kwanzia daraja la 1-3 ni bei gani kwa kila daraja,na yanapatikana wapi? Na pia naomba wenye uzoefu na hii biashara waniwekee waz changamoto zake na je wamewezaje kufanikiwa? Kama kuna ambao hawakufanikiwa pia wanisaidie kunijuza kwanini hawakufanikiwa. Msisahau kunijuza na kwa upande wa viatu.Nitashukuru kwa msaaada wanajamii na mungu awabariki
Unapotaja sehemu za bidhaa rahisi duniani naamini China itakuwa ya kwanza... Karibu sana Guanzhou na hata Hongkong utapata nguo hadi za 0.5USD ukiipeleka Bongo unauza 10USD