Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Sawa mkuu Mimi hapa ni cameraman mzr tu na nimekuwa natapata usumbuf wa kwenda kusafsha picha mjn na ndomaana nkamua kutafta uwezekano wa kununua machine ya kusafshia picha na CIO kwamba mm pekee ang nimekuwa nkiagizwa na macameraman wenzang nnapo kwenda mjin ndo nkaamua ili nisaidie watu pia na mm nfaidike ninunue hio machine kwaniaba ya kuteka zile picha ambazo naaigizagwa kwenda kusafsha mjini !!!Pia kuna shule za msng ambazo nazo walim wanahangaika kwenda kuchapa mitihan mjn pia kunawatu wenye vyombo vya moto kuna mda wanahitaji kupga lamination license zao na nk
 
HABARI WA KUU
Poleni kwa majukumu na swaumu kwa wale waliojaaliwa kufunga mimi naomba mwenye kujua vyema biashara ya stationary anipe muongozo wa vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara hiyo

Nataka iwena huduma nyingi muhimu mfano copy za rangi na kawaida scanning nk.
Ikiwezekana hata makadirio ya gharama za manunuzi ya hivyo vifaa asanteni
 
Utaniita kwenye kamati ya ufundi
 
Kama kweli upo unahitaji kufanya hiyo biashara Nitafute nikuuzie vifaa vyangu...mm nimefunga rasmi tarehe 10/7/2018
1.Photocopy machine---ir2016 canon hii ina duplicate kabisa yenyewe
2. Printer zipo tatu
-hp color laserjet CP3525dn
-epson L800
-hp laserjet hii ni black and white
3. Generator moja aina ya Dubao lina 3.5KVA
4. Camera moja aina ya Sony 20megaPxl pamoja na stand yake
5. Lamination machine mbili
6. Binding machine moja
7. Stapler kubwa na ndogo
8. Punch kubwa na ndogo
9. Laptop moja---hp probook 6450(core i3)
10. Meza kubwa moja ina droo 3
11. Kiti cha watu 2---cha kukalia wateja na kimoja cha kuzunguruka kwa ajili ya mtendaji kazi.
12. Desktop computer set moja aina ya Lenovo display yake ni 20 inch
13. Mzigo upo wa 1.2mil (namaanisha materials kama pen, pencils, daftari, counters, makers, Stapler, ink, n.k)
14. Shelf zipo za vioo unaweza hamisha

Nataka mil.8 tu kwa vitu vyote hivyo ila siuzi kimoja kimoja.
 
Hili syo jukwaa lake
Karibu mgeni

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…