Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Mkuu kwa nin uliamua kufunga tuanzie hapo kwanza
 
Mzigo bad upo au...?
Mzigo upo nimeuweka ndani tu naona wengi wanataka kununua kwa rejareja kitu ambacho miimi sikubali.
Mungu akipenda hadi February mwakani nitatafuta sehemu yenye mzunguuko mzuri ntakomaa mwenyewe tu.
 
Mzigo upo nimeuweka ndani tu naona wengi wanataka kununua kwa rejareja kitu ambacho miimi sikubali.
Mungu akipenda hadi February mwakani nitatafuta sehemu yenye mzunguuko mzuri ntakomaa mwenyewe tu.
Why usiuze kimoja kimoja kwa Bei Fixed kuliko kuvitunza vitaanza kuliwa na panyaa mzee...!!
 
Mzigo upo nimeuweka ndani tu naona wengi wanataka kununua kwa rejareja kitu ambacho miimi sikubali.
Mungu akipenda hadi February mwakani nitatafuta sehemu yenye mzunguuko mzuri ntakomaa mwenyewe tu.
Mkuu u need only Frem ya chuma ya kutengeneza kwahapa nilipo stationary ndio pake.

Ni kwapembeni mwa UDOM hivi ambapo wanafunzi awakauki huko na stationary yako ikiwa Modern upunziki asubui hadi jioni inachotakiwa kuendana na wakati huo kuna kitu gani kikubwa

Mfano
1/kipindi cha portifolio
2/curriculum
3/pedagogical
4/reserch

Hemu nishimwage kila kitu hapa ila unahitaji frem ya kutengeneza na haso za kupata sehemu ya kuipachika
 
Ahsante mkuu, hili wazo nitalifanyia kazi nashukuru sana.
 
Why usiuze kimoja kimoja kwa Bei Fixed kuliko kuvitunza vitaanza kuliwa na panyaa mzee...!!
Hapana mkuu nachofikiria ni kupata pesa ya pamoja niipeleke kwenye biashara mama tofauti na hapo bora nivumilie tu hadi nipate nguvu ya pesa kufungua sehemu yenye wateja wengi.
Kuhusu panya sidhani mana nimeviweka kwenye kabati za vioo hata vumbi halipeny, naimani vitakuwa salama.
 
wakuu anayetaka ofisi nzima ya stationery moro anaweza nichek ili anunue aendelee kupiga kazi nimepewa uhamisho vijijini huko,sehemu ilipo inamzunguka mkubwa tu wa pesa
 
wakuu anayetaka ofisi nzima ya stationery moro anaweza nichek ili anunue aendelee kupiga kazi nimepewa uhamisho vijijini huko,sehemu ilipo inamzunguka mkubwa tu wa pesa
Nitumie contacts zako mkuu tufanye biashara
 
Kwanini unauza mkuu?
 
Mwenye kujua tafadhali juu ya Skills anazotakiwa kuwa nazo mfanyabiashara wa stationery ili kuwashika wateja wake wote. Plz naomba uniorodheshee.

Asante
 
Naomba Bei zake hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Patrice nami naomba ushauri nimeoa unaweza to a ushauri unaofaa.Mtu mwenye mtaji wa mil 2 ikiwa hana kazi yeyote anaweza kufanya biashara gan itakayomsaidia kuafford all basic needs?
 
Umeeleza vizuri, mimi pia ningependa kujua kwa undani je ni vifaa gani vingine muhimu vya kuweka? mfano rula, penseli, kifutio.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…