kinundu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,029
- 2,158
Sawa mkuu nashukurutafta printer ndogo 120, ukiwa pale ni rahisi kukopesheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu nashukurutafta printer ndogo 120, ukiwa pale ni rahisi kukopesheka
Nashukuru mkuuWeka na tigo pesa voda mpesa
Weka na kadi kadi zile,
In short kila aina ya "upuuzi" related na stationary weka. Yaani one stop centre mtu akija hachomoki.
Namuomba Mungu nifanikisheMkuu hiyo ni fursa kubwa. Ukiwa na Milion 8 hadi 10 utapiga pesa sana
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Dah! Mungu anisaidie kupata mtajiYes mzee. Usisahau kupiga pasport
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Hakika mkuuKwa miji mipya ndio sehemu nzuri za kutokea,na utajikuta unapata fursa zingine
Bei ya katatasi,,counter books,mafaftari ya kawaida na pens kwa jumla zikoje kwa sasa dar,,nataka nijaribu na hizo bidhaa wadauNdio ni kweli kama anataka kuuza jumla na mtaji ni mkubwa then anaweza akaagiza china au South Africa (nadhani wengi wanaagiza huko) ambapo nadhani CIF price mpaka dar Double A inaweza ikawa about 5usd per carton hapo container linaweza likawa na ream 8000 bila pallet (20f Container) i.e. 1600 boxes without pallet au 1560 boxes with pallet.
So kama clearing ikienda vizuri anaweza aka-end up with a good package..., nadhani mikoani kwa sasa karatasi carton its about 35,000/= so akinunua dar kwa 29,000/= gross profit ni 6,000/= before transport, am not sure about transport hapa itacost ngapi...,
Therefore afanye research it might pay lakini asisahau duty and taxes sina uhakika karatasi wanatax at what percentage..., pia gharama za clearing na upuuzi wa pale bandarini kuhonga hapa na pale...., for sure akijipanga there is a good package to be made..., especially aki-cut the middle men
Microsoft office word, excel, publisher na PowerPoint kama uko maeneo ya chuoni, pia graphic designing kwa ajili ya kudesign card (unaweza kutumia word na publisher au Photoshop).Mwenye kujua tafadhali juu ya Skills anazotakiwa kuwa nazo mfanyabiashara wa stationery ili kuwashika wateja wake wote...... Plz naomba uniorodheshee........ Asante
Wewe uko wapi,?Wakuu naomba mnipe elimu kidogo kuhusu biashara ya stationary
Jinsi ya uendeshaji wake,location nzuri ya kuianzisha,faida yake,hasara na changamoto nyingine
Asanteni
Itapendeza pia kama eneo hilo litakuwa na taasisi za serikali mf. shule msingi/sekondari,halmashauri au ofisi yyte ya serikali ambayo huduma zake zinatumiwa na wengi,hapa utaneemeka kwa kupata zabuni mbalimbali. Pia uchangamfu wa eneo,pilikapilika,na utumiaji mkubwa wa huduma za stationary mf. matumizi ya internet,kuchapa kadi,kupiga na kusafisha picha,kuandaa mikataba ya makampuni/vikundi,kutengeneza tiketi za mabasi,n.k n.k
Ila kama ni stationery kwa ajili ya kutoa photocopy/kuchapa ni heri ukaanzisha kilimo cha bustani maana huwezi kutengeneza pesa ya maana na huku gharama za pango,umeme na maisha mengine zinakusubiri..