madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
Naomba kupata ushauri juu ya kufungua stationery na vitu muhimu vya kuweka pamoja na gharama za kuanzisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuanzisha stationery alafu unataka tukushauri vitu vya kuweka?Naomba kupata ushauri juu ya kufungua stationery na vitu muhimu vya kuweka pamoja na gharama za kuanzisha
Asantee sana mkuuZaidi ya Vifaaa, stationary inahitaji Personnel wanaojua kuvi operate vizuri.
Ok: Bei kidogo itakuwa shida
1. Kuna Printer: Epson nzuri zaidi. L800's Zinafaa.
2. Copier: Hizi HP watu huzipendelea Zaidi, japo sina utaalamu nazo. Kuna Copier flani hivi zinaagizwa kwa Order kutoka Japan. Zina gharama kidogo [emoji3] ila zina mafundi wake
3. Vifaa vingine vya shule unafahamu.
Licha ya hayo yote, vitu hivi vyaweza kukusaidia zaidi.
1. Kachukue kwanza ujuzi hata wa wiki mbili wa namna ya kurekebisha printer & Copier, wamiliki wa stationary huwaga wanaumia sana unakuta Cartridge kidogo tuu imeharibika anatengeneza fundi ndani ya dk 3 kapewa 50,000/=
2. Mahala u apoweka stationary: itasaidia sana kama ni karibu ma taasisi ya Elimu. Kuna chuo cha Elimu ya Siasa kilifunguliwa Kibaha, kuna mtu aliniambia bado kuna fremu za biashara, na hiyo hapo itafaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii biashara huwa ina faida?
aisee shukrani mzee
Vipi ushapata sehemu nyingine.Mzigo upo nimeuweka ndani tu naona wengi wanataka kununua kwa rejareja kitu ambacho miimi sikubali.
Mungu akipenda hadi February mwakani nitatafuta sehemu yenye mzunguuko mzuri ntakomaa mwenyewe tu.
Yeah nilipata na nimeanza tayari ndo nina wiki ya kwannza mzigoni ila wife ndo anaisimamia.Vipi ushapata sehemu nyingine.
Na mimi nataka kuanza hii biashara nipo nafanya research
Sent using Jamii Forums mobile app