Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Habari za mda huu, naomba mwenye uelewa juu ya garama za vifaa, au makadirio ya hela ya kuanzisha stationary, pia je vifaa vya mtumba vinaweza kufaa?

Natanguliza shukrani
 
Mkuu stationary angalau iliyoshiba ni kuanzia 4+mil ila ni vizuri ungeweka makadirio ya mtaji wako ili ushauriwe kulingana na mtaji ulionao.
 
Mkuu stationary angalau iliyoshiba ni kuanzia 4+mil ila ni vizuri ungeweka makadirio ya mtaji wako ili ushauriwe kulingana na mtaji ulionao.
Nina 2.5milion kk, pia nategemea kuwe na huduma za kusafisha picha
 
Kama una 2.5

1.3 photocopier canon ir2204
700k nunua epson l805
400k desktop yenye monitor kubwa walau 24 inch
Inabaki 100k

Kiufupi 2.5 haitoshi kama unataka kuwa unasafisha na kupiga picha maana hapo bado camera, office hujaiweka vizuri..TRA,kodi ya nyumba, mlinzi , umeme , maji, ushuru wA taka..

Shukrani mkuu, ngoja niongeze juhudi
 
mkuu sijui umeshawaza yapi katika biashara unayotaka kufungua. ila ningependa kukushauri jambo moja kabla hujakimbilia kununua lamination machine na laptop nk..
kwa mwelekeo ulio anza nao naona itakua a very begginer approach yani uwe na stationery afu na mashine mbili tatu, uuze 10,000 paka 20,000 kwa siku afu basi.

kama ndo lengo lako kutest na kujifunza hio biashara sawa ila..
kama una malengo makubwa na kama umejiandaa na unataka upambane kweli na kujikwamua ktk uchumi huu.. jaribu kutafuta kwanza “a stronghold approach” ambayo unahisi inaweza kuonesha u seriousness kdg..

kwa mfano uniambie nimefanya tafiti nimeona professionals aina flani labda wanasheria wanahitaji huduma abcd za stationeries au mashule wanachapisha mitihani mamia kila muhula, au maeneo ya vyuo wanafunzi wanahitaji vitu flani vya stationeries, au nimetembelea kumbi za starehe kila siku sherehe kadi wanatoa wapi.. au maofisi mengi kwanini nisiwapunguzie usimbufu wa ku print na copy nk.

ukiwaza hivyo itakusaidia kujua angle gani uingie kwenye hio biashara, utajua unahitaji vifaa gani, mtaji gani, uwaone watu gani.. na naamini utafanikiwa zaidi kwa namna hiyo!

tumia audience ambayo tayari wengine wamekutengenezea.. mfano we muuza jezi unajua wapenda mpira ndo wanunuzi wako, unajua mechi ya simba na yanga jmosi kwann usitumie audience ambayo tff imekutengenezea kupata hao wateja!
tafakari.. !
 
Naomba msaada ndugu naomba ninataka kufungua stationary ndo malengo yangu nilikuwa naomba estimation ya makadirio kwamba atleast natakiwa kuwa na shingapi kuanzisha stationary kwa Sar es Salaam.
 
Naomba msaada ndugu naomba ninataka kufungua stationary ndo malengo yangu nilikuwa naomba estimation ya makadirio kwamba atleast natakiwa kuwa na shingapi kuanzisha stationary kwa Dar es Salaam.
Siku hizi hicho ni kichomi. Kazi nyngi zinafanyika maofisini, labda ufungue karibu na taasisi zenye wanafunzi kama vyuo. Otherwise, nakushauri kwa mtaji utakaotumia kufungua stationery, wekeza biashara nyingine.
 
Sawa ni kichomi lakini mimi nataka kuwekeza zaidi kwenye application.
 
Sawa ni kichomi lakini mimi nataka kuwekeza zaidi kwenye application
 
Habari zenu ndugu zangu najua jf ni jukwaa ambalo hakuna linalo shindikana...

Kuna ofisi kama hizi
-Hospitali
-Mahakama
-Kituo Cha polisi
-Shule za msingi na secondary
-Ofisi za wenyeviti wa vitongoji
-ofisi za vyama vya siasa n.k

Hivyo naomba nijue

1.changamoto zake
2.faida
3.vifaa Bora na muhimu zaidi pamoja na gharama zake..
4.vifaa vya muhimu zaidi sababu mtaji wangu ni mdogo mnoo hapa nina PC tuu

USHAURI WENU MUHIMU SANAA KWA UJUMLA ANGALAU NIFANYE MAPEMA NIWE MTU WA KWANZA NA NIZOELEKE NA VIJIJI VYA JIRANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie huo mji/kijiji kwanza ndipo nikupe ushauri muruwa ambao na wenye tija nchi hii.
 
Back
Top Bottom