mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hapana Bado sijapanga kufanya biasharaKaribu...Kama unahitaji lamination machine ninayo A3, iko Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Bado sijapanga kufanya biasharaKaribu...Kama unahitaji lamination machine ninayo A3, iko Arusha
Kama unahitaji kuanza nicheki nikuuzie vitu vyangu.Mkuu asante kwa mchanganuo murua.niko kwenye mpango wa kuanzisha hii kitu.
Je hyo epson l850 sio heavy duty?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha wewe una uzoefu sana hii biashara, halafu siyo mchoyo wa kuongoza wengine. Hongera!Ni heavy duty inatosha kwa shughuli za stationery...inapiga copy, inascan, inaprint kutoka kwenye pc au flash, insafisha picha, kadi za harusi, business card. Stationery nyingi ambazo wanatumia 850 wanatumia hiyo pekee bila printer nyingine.
Asante mkuu!Inaonyesha wewe una uzoefu sana hii biashara, halafu siyo mchoyo wa kuongoza wengine. Hongera!
Hongera kwa wazo zuri kwanza tuanze maandalz tahadhari kipindi hiki shule, mavyuo na taasisi zingine za elimu zimefunga na ndio wateja wazuri wa hii biashara....
1: Tafuta eneo zuri ambalo lipo karibu na chuo na hostel za wanachuo.....
Mgawanyiko wa pesa: Chukua mashine used ya photocopy haitazidi laki 4 na elfu 50 (ushauri usinunue bila kwenda nacho mtu wako mwenye ujuzi kidogo na mashine za photocopy maana zinashida nyingi sana)
Kuna umuhimu wa kununua Desktop kwa 350000 haitazidi laki 4.....
pia printer mashine nzuri kuna member hapo juu amesema ir 2025 kwa haitazidi laki 3 mara ya mwisho ilikuwa 260000
Katika issue ya pango i reccommend ungechonga banda lako la chuma la kueleweka au kununua used (nimeona wengi Dodoma wanatumia hili) hii itaepusha cost kubwa ya kulipia pango....all the best mkuu pia uwe na bei ya kirafiki na uwezo wa kuderiver kazi hata baada ya masaa 3 utakubalika zaidi.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ni utokaji wa bidhaa,je soko unalo au unategemea wateja wakuvizia njiani?Ukubwa wa biashara utaendana na ukubwa wa fedha uliyowekeza.
Hiyo pesa inatosha kwa kuanzia, mtaji haujawahi tosha hata siku moja.
Desktop kwa 350000
Printer nzuri ir 2025 kwa 250000
Photocopy mashine used unapata kwa 400000 issue ni pango sasa na vitu vingine vidogo vidogo.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk