Zaidi ya Vifaaa, stationary inahitaji Personnel wanaojua kuvi operate vizuri.
Ok: Bei kidogo itakuwa shida
1. Kuna Printer: Epson nzuri zaidi. L800's Zinafaa.
2. Copier: Hizi HP watu huzipendelea Zaidi, japo sina utaalamu nazo. Kuna Copier flani hivi zinaagizwa kwa Order kutoka Japan. Zina gharama kidogo [emoji3] ila zina mafundi wake
3. Vifaa vingine vya shule unafahamu.
Licha ya hayo yote, vitu hivi vyaweza kukusaidia zaidi.
1. Kachukue kwanza ujuzi hata wa wiki mbili wa namna ya kurekebisha printer & Copier, wamiliki wa stationary huwaga wanaumia sana unakuta Cartridge kidogo tuu imeharibika anatengeneza fundi ndani ya dk 3 kapewa 50,000/=
2. Mahala u apoweka stationary: itasaidia sana kama ni karibu ma taasisi ya Elimu. Kuna chuo cha Elimu ya Siasa kilifunguliwa Kibaha, kuna mtu aliniambia bado kuna fremu za biashara, na hiyo hapo itafaa tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app