Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Hiyo ni solution isiyoangalia chanzo Cha tatizo. Tatizo litaongezeka Badala ya kupunguza.

Tatizo kuu ni CHAMA na Serikali ya KIJANI.

Wameleta gap kubwa kati ya maskini na TAJIRI. Shule za kata hawawekezi vya kutosha sababu watoto wao hawasomi huko.

Mtoto wa maskini akitokea shule Hana maarifa ya kutosha kujitegemea ndo unaona wanaongezeka dada poa na panya road.

Solution, tupambanie KATIBA mpya, itasaidia kuondoa GAP kati ya maskini na TAJIRI, shule za kata zitoe ELIMU Bora kuliko za Binafsi kama kipindi Cha Nyerere au kama ilivyo Kenya Kwa sasa. Tatizo Hilo litapungua sn.

Itaondoa ubadhirifu wa raslimali za sarikali, mikopo ya vikundi itawafikia wamama na wadada, wataacha KUKODISHA miili yao.
 
Sie hatuishi Kenya au s.afrika, TANZANIA tuna miiko yetu na utamaduni wetu.

Sisi ni Watanzania, usihalalishe UOVU, CCM ni WA kulaumiwa Kwa kila baya Kwa kuwa wanatoa watu wanaofanya maamuzi Kwa niaba yetu. Amen
Ni kukuambia kuwa hizo ni tabia za binadamu dunia nzima, huwezi kuzizuia..hazitokanani na CCM uchumi mkubwa ama mdogo kitu gani. Ni kukosa uelewa kudhani kuiwa chama cha upinzani kikiingia eti matatizo yote ya kimaadili yataisha
 
Ni kukuambia kuwa hizo ni tabia za binadamu dunia nzima, huwezi kuzizuia..hazitokanani na CCM uchumi mkubwa ama mdogo kitu gani. Ni kukosa uelewa kudhani kuiwa chama cha upinzani kikiingia eti matatizo yote ya kimaadili yataisha
Ndo Tubadili tupime hili na lile, wanang'ang'ania hapo Kwan ni mama zetu hao
 
mm huu mstari wa huyu mwamba sijauelewa kabisa mke mwema anapatikana kimboka kweli
Yeye anadai kuwa ukipata mke kule anakuwa hana mambo mengi sababu amemaliza uhuni wote hana kipya cha kufanya so, mke atatulia
 
Juzi nilikuwa maeneo hayo nimeshuhudia, mambo yanayofanyika pale mida ya night, bajaji zinavyotikisika during mechi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huku mitaa ya kwetu, mtoto wa miaka 12 anakuuzia papuchi, na mama yake anagawa mbususu! Baba mtu ananunua papuchi ya mke wa jirani yake! Yaani ni vurugu bin Vurugu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watoto wako kaa nao nyumbani kwako, acha kusumbua watu lol.
 
Mkuu nchi za ulimwengu wa 3 hayo matatizo yanafana...hakuna nchi ya sub sahara africa ambayo haina hili tatizo

Matatizo mengi tuliyonayo tunaweza kuyatatua wananchi kwa kubadilisha attitude tu, wala sio serikali

Haya mambo ya kudhani serikali inatakiwa iwapangie kila kitu ndio yametufikisha hapa
 
ZAMANI SINZA ILIKUNI FAHARI KUPANGA NYUMBA, KWA SBB YA UWEPO WA WASOMI.
SIKU HIZI NI MAKAZI YA NYUMBA NDOGO NA MAKAHABA NA MASHOGA NA WALEVI NA MATAPELI
Yaan bila kutajwa mashoga bado, khaaaah.
 
Dini haiwezi zuia watu kufanya umalaya watu wataacha umalaya kama wakiwa na kazi na wakiacha uvivu
 
Ila tuambizane ukweli humu, wazazi wameshindwa sana kutimiza wajibu wao katika malezi ya watoto!! mtoto wa kike unamwona anavaa uchi uchi hata mbele yako unategemea nini! Kina mama ndio kabisaa!!! mtoto uchi uchi na mama uchi uchi!!
Weka neno "baadhi " ya kina Mama ..... siyo wote wanafanya hayo
 
Mbona bunge linaongozwa na hao lakini sarakasi ndo zimezidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…