Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Ni kukuambia kuwa hizo ni tabia za binadamu dunia nzima, huwezi kuzizuia..hazitokanani na CCM uchumi mkubwa ama mdogo kitu gani. Ni kukosa uelewa kudhani kuiwa chama cha upinzani kikiingia eti matatizo yote ya kimaadili yataisha
Hio biashara sio rahis kuizia lakin kuwe na utararibu huwez ruhusu bar na guest zikajengwa jengwa hovyo kwenye makazi ya watu huo ni udhaifu wa serekali
 
Ww avha urongo...wapi kenya malaya wana lipa kodi ? Kenya ukahaba ni illegal business kama ilivyo Tz tu
 
Haya yote ni matokeo ya sera mbovu za serikali ya CCM.

Biashara ya ukahaba haitokani na CCM, hiyo biashara ni moja ya biashara kongwe duniani ipo tangu enzi za Yesu (miaka 2,000 iliyopita), CCM imekuja juzi tu hapa.


Kifupi hiyo biashara iko dunia nzima na haiwezi kuisha.

Lastly siku moja jaribu kununua kahaba, usipokuwa makini hutaacha kila day utaenda kununua[emoji23][emoji23]
 
Angewapiga picha na video halafu akasambaza mtandaoni. Kama unasumbuliwa na vitu kama hivi, piga picha na video za wateja wa hao makahaba na namba zao za magari halafu ziweke Twitter, Insta, JF, Tik Tok, kila mahali.

Ni kosa kisheria unaingia nyavuni
 
Yeye anadai kuwa ukipata mke kule anakuwa hana mambo mengi sababu amemaliza uhuni wote hana kipya cha kufanya so, mke atatulia
Jichanganye etiii atatulia ni Mwendo wa jet, ulishawahi kuona kimondo kinavyokatiza usikuu yaani ni Shaaaaa kimepita,,, imeisha iyooo Nina mifano kama miwili ya haoo people ni noma sana.
 
Mantiki yako ya hao makamanda wa Polisi kuwa ni wanawake ni nini?
 
Habari zenu wana jf

Kwakweli hii sasa imezidi sana nimekaa mikoa mingi nimeishi kwenye majiji makubwa hapa bongo lakini ukahaba ulichukuliwa ni tabia za watu wa mjini ,ambazo hufanywa wazi wazi hasa nyakati za usiku.

Kilicho ni shangaza zaidi ni hali niliyoikuta Kijiji X mikoa ya kusini ,kuna ukahaba unaotisha tena mbaya zaidi wanajiuza kwa bei rahisi sana kuanzia elfu 2 endapo ukilipa kuanzia elfu 5/4 yupo tiali kukuruhusu upige kavu bila salama , story hizi nimepewa na wakazi wa hapa kijijini nimebaki nikishangaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…