Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuwepo Soko la HISA haimaanishi kitu ni genuine ni jukumu la muwekezaji kufanya duel dillegence..., Hata kina ENRON, walikuwa kwenye Stock Exchange za Ulimwengu achana na DSE; Ila mwisho wa siku they were cooking books...Leo hao JATU wako Soko la Hisa la Dar-es-Salaam (DSE), wewe baki na mawazo yako negative kwenye kila kitu chenye kuzalisha pesa ambayo akili yako imeshindwa kuielewa!
Na hata wewe ukipata haimaanishi kitu ni sustainable unaweza wewe ukapata wengine wakalia..., cha maana kwa mwekezaji ni kujua inside out ya kitu kabla hajawekeza..., na kwa muuliza maswali kuuliza ndio njia ya kujua ukweli..., na kwa mwenye Kampuni dawa ni kujibu maswali yote pasipo shaka wala sio kukasirika