Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Yani kuna watu wa ajabu sana mimi sijawaita watu wala kuwaambia nitawauzia mimi nikauonyesha njia wewe ukanunuwe mwenyewe unapojua uje upige pesa mtu anaona anatapeliwa
wewe ulieleta hii mada kuhusu viatu,Ubarikiwe.Pambana sio kukaa vijiweni na kulaumu,Godbless you
 
Vip,kwa mtu mwenye mtaji wa 70 elfu anaweza akatoboa kwa sasa huko mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…