Inamonga
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 779
- 474
Mkuu hii ni bei ya dar kwa sasa..45000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ni bei ya dar kwa sasa..45000
kama ni bei ya sasa nakushauri ni bora ukanunua maeneo ya morogoro huenda ukapata nafuu maana ukijumlisha na usafirishaji huenda ukapata hasara kama bei ya sasa dar tsh.4500/=Mkuu hii ni bei ya dar kwa sasa..
Wilaya ya mnvomero hasa maeneo ya mgeta ni maarufu kwa kilimo vikiwemo viazi mviringo,unaweza ukaenda huko au unaweza kwenda pale soko la morogoro mjini stendi ya SUA huwa kuna wafanya biashara wa viazi mviringo huleta pale ila huenda ukapata bei kidogo endapo wamevitoa mbeya au njombe.Morogoro sehemu gani wanalima viazi..?
Nenda mabibo sokon hapo, soko la jumla paleHabari.
Natafuta soko la viazi mviringo kwa mkoa dar,morogor na singida tafadhali kama kuna mnunuzi naomba nitafute no:0743185408
Mkuu kama kuna kitu ulikuwa unataka kusemaKaa mbali na dalali utalia nakushauri tafuta biashara nyingine.. Madalali ni watu wabaya Sana duniani na mbinguni
Mkuu umenena kweli,achana na hao watu wanaoitwa madalali....Kaa mbali na dalali utalia nakushauri tafuta biashara nyingine.. Madalali ni watu wabaya Sana duniani na mbinguni
Kwani usafiri kutoka njombe mpaka dar kwa gunia moja nauli shilling ngapi kwa fusoMimi nimefanya hii biashara, naijua vizur sana ni biashara nzuri sana, nilisimama kwa muda kutokana na kubanwa na masomo nategemea kurudi kwenye hii biashara mwezi wa kumi mwaka huu, kwa laki 8 kweli ni ndogo mkuu atleast uwe na kama 3milion ndoo utaona faida ya hii biashara
Kwani gari ya chini huwa n fuso yenye uwezo wa kubeba magunia 75 kujaza mzigo siyo pungufu ya 2.4m ni bora ufanye ivo kuchukua gari yako kuliko kushare maana itakugharimu sana kwenye usafirishaji
Nakaribisha tuungane mkuu kama kuna swali waitaji kujua waweza kuuliza apa apa ntakujibi
Kwa biashara ya kiazi lakini nane haitoshi, hicho ndicho kinacho mshangaza huyo jamaa.mkuu vipi mbona unashangaa
Sijui kwanini nimehisi utaibiwa na huyu mtu ila let me ignore my intuitionBro! Naweza kuonana nawe ili tuongee zaidi! Pls ni PM. Nimekuwa natafuta data za hii biashara na nijue mahala pa kuanzia!
Mimi nipo ndagha apa vinaplimwa viaz Na nna Lima kidogo ila hua nataman kuuzia dar kwa kununua vingne tatzo sjui bei Na soko la huko zao lingne ni ndizi Toka tukuyu nazo znalipaSoko lipo vizuri, kama unavyoona watu kila siku wanazidi kupenda chips na matumizi ya viazi yanaongezeka cha muhimu ni uchaguzi mzuri wa viaz kule shamban, hakikisha unachagua kiaz kizuri na kiwe kikubwa soko zuri ni buguruni na mabibo ilala siyo wazuri sana
Kuhusu usafiri kama unachukua mzigo njombe kulee kuna shida kidogo ya usafiri lakini tofauti na mbeya usafiri hausumbui sana maana semi tyler nyinyi zinatoka zambia kuja dar zingine zinakuwa tupu soo deal kaa izo hawawez kuacha
Dagha iko wapi?,usafiri huko ukoje?Mimi nipo ndagha apa vinaplimwa viaz Na nna Lima kidogo ila hua nataman kuuzia dar kwa kununua vingne tatzo sjui bei Na soko la huko zao lingne ni ndizi Toka tukuyu nazo znalipa
Ipo mby usafr wakutoshaDagha iko wapi?,usafiri huko ukoje?
[emoji1][emoji1][emoji1] duu hili jibuKuwa mbunifu kenge ww sio kila kitu n kuiga tu