Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

WADAU NIPO TAYARI KWENYE HII BIASHARA KWA MUDA SUALA LA CHANGAMOTO YA MTAJI NI KAWAIDA KTK BIASHARA ,NA KUKARIBISHA UWEKEZAJI NI AINA YA KUKUZA MTAJI NA INAKUBALIKA JAMBO LA MSINGI NI PANDE MBILI KUKAA , KUJUA JINSI GANI YA KUFANYAKAZI PAMOJA ,AU AINA YA UWEKEZAJI THEN MIKATABA , HATA UKIWEKEZA KUANZIA MIL 7,AMBAYO NI TAMI 30 KWETU UTAPATA FAIDA ,KUMBUKENI BENKI UNAWEZA WEKA AKAUNTI YA MALENGO NA UKAPEWA 7% KWA MWAKA SISI UNAWEZA UKAPATA ZAIDI , KARIBU TUJADILI UKIWA UNAHITAJI.
 
mimi nataka kufaham kuvifata China na Dubai mpaka vinafika hapa Tanzania wapi itakukuwa gharama ipo chini zaidi
 
mimi nataka kufaham kuvifata China na Dubai mpaka vinafika hapa Tanzania wapi itakukuwa gharama ipo chini zaidi
Mkuu hii thread ni ya mwaka 2013 ,tena enzi za mkwere....

Sasa hivi ni 2016 , alafu ni era ya magufuli
 
Tumemaliza misitu kwa kukata miti ovyo. Sasa tubadilike kwa kutumia technology mpya kuna milango mizuri inayopendeza na kudumu kwa muda mrefu sana ya steel. Kiwanda kipo Tanzania Dar es Salaam.
Watanzania tubadilike hii dunia ni kwa faida ya vizazi vyetu pia. Kwa mahitaji yako nipigie 0786741162.
 
siyo kweli ni juzi ty nimetoka kuchukua khanga na shuka pale urafiki viwanda vipo bidhaa zipo tatizo nyingine zinakwenda kufanyiwa packaging nje zinaongezwa thamani.
 
Weka picha ya hiyo milango
 
["]Mkuu hii thread ni ya mwaka 2013 ,tena enzi za mkwere....

Sasa hivi ni 2016 , alafu ni era ya magufuli[/QUOTE]
Daaah! pamoja muu
 
Mkuu lako saba saba naomba contacts zako ili tupate kuwasiliana
 
Mkuu hivi cement ya nje ina quality nzuri ukilinganisha na yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…